Jirekebishe wewe Mkimbizi tutakurejesha kwenu ukaanze shule maaana ulikataa shule ukakimbilia madrasa. Kazi kushindia mihadhara ya kukashfu Ukristo. Mind your path buddaPumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jirekebishe wewe Mkimbizi tutakurejesha kwenu ukaanze shule maaana ulikataa shule ukakimbilia madrasa. Kazi kushindia mihadhara ya kukashfu Ukristo. Mind your path buddaPumba
ukitaka kuwai panda ndege
Hawataki kusema tu, uwa wanafanya hivi kuwapisha wachawi kufanya yao usikuWadau tumetoka Dar na Bus la HAPPY NATION saa 12 asubuhi na tumefika hapa Sikonge, Tabora Bus limezuiwa kuendelea na safari eti mpaka saa 12 asubuhi, eti kwa sababu njiani kuna mapori makubwa.
Kwa maoni yangu hii si sawa kabisa, yaani pamoja na jitihada kubwa za serikali kukamilisha barabara hii na sasa ni lami kutoka Dar mpaka Mpanda, bado tunawapotezea muda watanzania kukaa hapa masaa 8 kisa hatuwezi kuimarisha usalama?
Hivi tutajikwamua vipi na umasikini ikiwa tunapoteza muda kiasi hiki? Halafu sehemu yenyewe hakuna hata stend yenye facilities za kuhudumia hata abiria wa Bus mbili. Kingine cha kushangaza kwenye maamuzi yetu ni kwamba hivi unawezaje kuacha bus ilale Tabora mjini kwenye huduma nyingi halafu uje kuzuia ma Bus Sikonge?
Kwa staili hii ya kupotezeana muda kiasi hiki uchumi wa kati tutausikia tuu kwa wenzetu. Nimesikitika sana kwa kweli.
Ulichosahau ni kwamba polisi nao ni binadam na wanakufa pia, wakimalizana na askari wanakuja kutembeza kifiro kwa abiria sasaKwa nini polisi wasiescort? Ndo kazi yao hiyo.
Panda ndege mkuu,Wadau tumetoka Dar na Bus la HAPPY NATION saa 12 asubuhi na tumefika hapa Sikonge, Tabora Bus limezuiwa kuendelea na safari eti mpaka saa 12 asubuhi, eti kwa sababu njiani kuna mapori makubwa.
Kwa maoni yangu hii si sawa kabisa, yaani pamoja na jitihada kubwa za serikali kukamilisha barabara hii na sasa ni lami kutoka Dar mpaka Mpanda, bado tunawapotezea muda watanzania kukaa hapa masaa 8 kisa hatuwezi kuimarisha usalama?
Hivi tutajikwamua vipi na umasikini ikiwa tunapoteza muda kiasi hiki? Halafu sehemu yenyewe hakuna hata stend yenye facilities za kuhudumia hata abiria wa Bus mbili. Kingine cha kushangaza kwenye maamuzi yetu ni kwamba hivi unawezaje kuacha bus ilale Tabora mjini kwenye huduma nyingi halafu uje kuzuia ma Bus Sikonge?
Kwa staili hii ya kupotezeana muda kiasi hiki uchumi wa kati tutausikia tuu kwa wenzetu. Nimesikitika sana kwa kweli.
wewe naye hiyo ni route gani dar-mpanda apite tena kaliua?Buses Za Kwenda Kigoma, Mpanda, Kagera Hakuna Namna Lazima Mlegeze Mwili Hapo Mpaka Asubuhi Ndiyo Safari Iendelee
Ukitoka Dar Es Salaam ~Mpanda Mtalala Sikonge/Kaliua
Ukitoka Dar Es Salaam ~Kigoma Mtalala Hapo Hapo
Wasafiri Dar Es Salaam ~Kagera Nao Kahama/Ushirobo Kulala
Zamani 2007 Wanaokwenda Kigoma Walikuwa Wanapita Kahama Hapo Watu Tele Wanalala Kwenye Bus, Kubwa Zaidi Usalama Ni Mdogo Na Mapori Makubwa Sana
Ninja Akiwa Waziri Wa Mambo Ya Ndani Alisema Majambazi Yasitupangie Muda Wa Kusafiri
Watu Wasafiri Muda Wote Wanakotaka Ila Nakwambia Siyo Kagera, Kigoma, Mpanda
Mtalala Tu Njiani Mnapotoka Dar Es Salaam, Huko Noma Sana Unatembea Kilometres Tele Ni Mapori Tupu
Ukitekwa Hupati Msaada Mpaka Wachukue Vitu Vya Thamani
Serikali Vitendo Hakuna!!!
Hii mambo magufuri ailiikataa enzi zake.Miaka 60 baada ya uhuru bado hatuwezi kudhibiti wahalifu kweli? Tutaobdokanaje kwenye umasikini kama tunapoteza masaa 8 hapa Kijijini Sikonge? Wenzetu wanafanya kazi 24 hours sisi tunachezea muda namna hii kweli? Kwa nini tusingelala Tabora mjini kwenye huduma nyingi?
Hahahaha eti warundi .Yale mapor ya Tabora yanawarundi, shaur yako.
Mkuu unaelewa kwa uzito hicho ulichoandika?Polisi hawa wazembe hawana uwezo wa kuwadhibiti hao wahuni na Wakorofi.
Hahaha MkuuDereva wenu ndie Mzembe. Angefika hapo kabla ya saa 3 usiku mngetoboa sasa Hapo Sikonge madereva wanapenda kulala kwa maksudi maaana wameoa Warabu koko wapo kibao so dereva anachelewa maksudi kufika ili akahudumie nyumba ndogo yake.
Siku nyingine Ongea na afande kiume uone ka hamjaruhusiwa.
Mkuu sio kijiji ni DUBAI hapo...Poleni sana kweli sio haki kulala kijijini hapo
Hahaha Mkuu.....kiwanja bora kabisa...utalii wa ndani Sikonge DubaiWaacheni watu wa Sikonge Wapige hera; kwanza karibu na stendi kuna Bar moja inaitwa Zigo basi wee Usiku unakuwa mfupi tu
Aisee ...Ushawai kusikia bus kutekwa na majambazi au ww ulikua bado kwenye mbupu.
Miaka ya 80 kweusi habari hizo zilikuwepo sana kwenye hayo mapori.
Nilishuhudia kuna siku hapo kati Manyoni ukitoka saranda ukaanza kuitafuta manyoni shughuli pevu.
Kilimatinde lilipigwa tukio,tulikuta wazalendo wameweka gogo barabarani.
Bado kusimama walume wakaibuka toka porini nyuma na mbele.
Kuna mwenye jegeje mkanda anao full una njegere za kutosha
Akatwanga juu km 20 hivi kwanza.
Kisha mnaambiwa teremka vua kila kitu acha pale kalale pale chini.
Jamaa walikomba kila kitu cha abiria hadi maandazi na maharage enzi hizo chipsi mayai haijazinduliwa.
Wakachukua mizigo yao wakazama msituni.
Fikiria mnaachwa bus zima uchi.
Hamna cha baba,bibi,babu ,mtoto uchi wa mnyama.
Mnarudi kwenye Bus kuendelea na safari na umbea wetu wabongo ndio mnachunguzana sasa huyu kumbe govinda'huyu kumbe kakeketwa huyu ana mbunye kubwa hivi.
Mpk Bus inafika polisi dereva akapiga ukunga akiwa uchi pia ndio kuja afande kupewa ripoti.
Zikatafutwa kanga mradi watu wajisitiri.
Sasa ww ukikatazwa kwenda mda huo polisi washajua kuna wababe wao hapo kati.
Ina maana bora lawama hizi unazotoa kuliko muende mpigwe tukio huko kati badae mtalaumu kwanini hawakuwazuia.
Babu nimecheka kama mazuri vile.Ushawai kusikia bus kutekwa na majambazi au ww ulikua bado kwenye mbupu.

Mkuu hata mimi ndio njia yangu kwenda Swanga, Wewe umesema ukweli kinachoendelea. Naona mapoyoyo yanabishana kwamba hiyo barabara ina utekaji. Ukiwauliza ni lini Utekaji umetokea mara ya mwisho hawana majibu🤣🤣. Magufuli alipoingia mwaka 2015 akawaambia maRPC hataki kuskia utekaji na pia askari asipande basi kuescot hicho kitu njia hiyo hakijawahi tokea hata kabla ya hapo nadhan tokea 2013 yaani miaka 10 iliyopita hakuna tukio.Hahaha Mkuu
Na chimbo langu hapo ...nikitoka Arusha na Coast line lazima nipige chini...napokelewa na Dubai ya Sikonge ..overnight 3 days!!!!