Usishindane na mwanamke hata siku moja,yeye kila fashion lazima ajaribu,refer.makalio makubwa...Unakuta msichana amepost mtandaoni video au picha, amejiwekea filter ya kuongeza mdomo unakua umetuna kama ameng’atwa na nyuki.
Nimeona sana kwa mabinti wa chuo, na binafsi sielewi, huu ndiyo urembo wa kisasa au?
Naomba kueleweshwa!
View attachment 3274953
View attachment 3274955
View attachment 3274959
View attachment 3274960
View attachment 3274956
Basi sawa, uhuru wa kila mtu kuchagua na kufanya anachopenda uheshimiweNdiyo hivyo hiyo ni fashion ya kisasa, lips kubwa zinaonekana ni urembo. Kuna watu wanafanya mpaka procedure maalum ya kupasua mishipa fulani ya ndani kwenye lips ili kufanya lips ziwe kubwa, si mambo ya filter tu.
Kumnyonya Mr. KirunguAu vijana wa kiume ndiyo mnapenda na mnawaambia wawatumie picha za hivi?
Cc: makutupora , makutupora , mzabzab , bonjov
View attachment 3274967
Huwa mnajiteteaje aiseee 😅Mdomo unakuwa kawaida tu, hapo ndiyo unaanza kujitetea 😁😁
Mnapenda sana kumnyonya Mr. KirunguBasi sawa, uhuru wa kila mtu kuchagua na kufanya anachopenda uheshimiwe
View attachment 3274979
View attachment 3274983
Hebu fafanua vizuri tujizolee maarifa mapya 🙂Kumnyonya Mr. Kirungu
Kumnyonya Mr. Kirungu kuna namna ukionyesha mdomo unaonekana wewe mnyonyaji mzuriMambo ya fashoni...
Kila jambo na wakati wake....
Saivi ni mdomo kuvimba kalio tupa kule aiseee...!
Sasa na domo hilo la kwenye picha yako, hiyo BJ unafanyaje?Ili waonekane wanajua BJ
View attachment 3274991
Blow Job kunyonya dusheHebu fafanua vizuri tujizolee maarifa mapya 🙂
Hilo si doll tu kaliweka hapo usoniSasa na domo hilo la kwenye picha yako, hiyo BJ unafanyaje?
Kwahiyo nyie wanaume hii midomo ndiyo inawasisimua na kuwavutia?
😅 Kumbe inabidi uwe na lips nene. Basi sawa, nimejifunza kitu!Blow Job kunyonya dushe
Kumteka mwanaume sio kazi ndogo, ndio maana mnahangaika kufanya kila muwezalo ili mwanaume aingie kwenye mfumo wa kanzidata ya mwanamkeKwahiyo nyie wanaume hii midomo ndiyo inawasisimua na kuwavutia?
Mai nimecheka sana 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Hata wanaume wajitahidi lipsi za chini zisiwe nyembamba sana tafadhali
Kwa kweli nipo serious na hili😋Mai 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Yaan lips zako hapo chini unataka zitanuliwe au dijaelewa?Hata wanaume wajitahidi lipsi za chini zisiwe nyembamba sana tafadhali
Wewe tena ndio sekta yako hio utaachaje kua serious?Kwa kweli nipo serious na hili😋