Hivi kwanini mabinti wanaweka filter za kuongeza midomo ionekane mikubwa?

Kama yupo JF, mwite hapa aje akusikie
Humu jf kuna walanguzi wa mapenzi...
Jf wengi ni waongo kuna siku niliingia cha kike.

Uzi unasema natafuta mchumba..
Kumfata DM nashangaa huyo anaejiita mdada ananichatisha kibabe kweli an mpaka nikashangaa huyu ni mdada au ni mkuu kama wakuu wengine...

Yaan nilijuta alafu badae akasema sijui niwe na heshima yeye ni kama baba angu...

Na bado huku alisema anatafuta mume awe muislamu...

Tulitukanana sana ndo akawa anasema hayo.maneno juu hapo
 
Duuuh pole yako kukutana na walanguzi wa JF.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…