Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,603
- 14,183
Sawa mistari haipo lakini ulipo tupo,Leo leo kazi ipo
Mimi mistari haipo
Mtanisamehe kwa leo sipo
Ila msinichukulie simpo
Ila Kuna psychological and environmental factor that add up to that too..Umefanya generalization Mzee baba.
Sidhani kama ina make sense.
Akili zina specifications nyingi.
Uzuri wa demu specifications ni tofauti kwa mtazamo wa mtu na mtu.
Wife ninaye na na ninamwita ua,Sina hakika kama kweli waifu unambomoa,,
Nilikwona kwenye uzi ule wa wa kataa ndoa,,
Kwenu sio Mbezi wote tunajua ni Kondoa,
Vumbi linapopausha kama umejipodoa,
Ahahaha kiongozIs it that ego zao zinawapumbaza?
Is it that wamejaaliwa aspect moja ya uzuri wa nje tuu ila wakanyimwa uzuri wa ndani?
Ni rare sana kukuta mdada aliye neemeka na kunawili vilivyo awe na akili.. Mambo ni superficial tuu, mara awaze kapendeza, awaze simu, awaze kama kapewa attention..
Ukimwambia maybe akupe mawazo chanya utasikia me sitaki kuchsha kichwa nina stress nyingi!
Kazi kupost stories fb, na Insta tu, kuonesha makebo yaoo. Yaani their whole identity revolves around uzuri waoo. Hawajui kuwa it perishes tena after 25 yrs, na vile hata hawajui namna ya kutunza miili yao wanapakia msosi ka nguruwe tu.
Wanawake wazuri na wenye akili wanapatikana wapii?
Hawa wengine huwa nachapa na kupita kushoto maana najua nikimwendekeza atanirudisha nyuma malengo yangu..
Ukipata full package we mwanangu ume hit jackpot kabisa.
Unamuita flower ngoja aje kukuua,Wife ninaye na na ninamwita ua,
Nikiweka picha yake wivu utawaua,
ni mweupe sana kama pepa au jua,
nashangaa hamuoi au bado hamjakua?
Au Kwa sababu kitandani mnasuasua?
ok, nadhani ni kwa sababu mifukoni mna miamia.
Wewe ni kama popo,Leo leo kazi ipo
Mimi mistari haipo
Mtanisamehe kwa leo sipo
Ila msinichukulie simpo
Hatari tupuNdo ukweli Mchungu huo
Ni kweli cha msingi niombee dua,Unamuita flower ngoja aje kukuua,
Wanawake ni hatari bora kuumwa surua,
Kila siku mwili wako unazidi kupungua,,
Sijui unakaa Ubongo na huko wanakubungua??
Al-mukheef
Uchumi mgumu.Wanawake wenye akili siku hizi ni nadra sana kuwapata. Siku hizi wanawake wengi hawafikirii kuwezeshwa, wanafikiria namna ya kupiga matukio.
Uchumi mgumu.
Siwezi kuhangaika mi kwako kuomba dua,,Ni kweli cha msingi niombee dua,
Nikiachwa malaya nitanunua,
Nitakula ARV afya ikisuasua,
Nikidharauliwa nitalialia.
Sahihi, tamaa za wanaume pia zinachangia sana.Mkuu ulichokisema ni kweli 💯
Ila mi naamini mentality yetu wanaume ndio imepelekea wanawake wawe hivyo,
Mfano huyo demu uliemDm insta akakuomba elfu kumi basi wapo wengi wanaotuma
Tumeharibu mentality ya wanawake kwasababu ya mtazamo wetu kwao
Kuwa na adabuSawa mistari haipo lakini ulipo tupo,
Kwenu ingekuwa Mbeya ungeitwa Mwaipopo,
Ulinidanganya ndugu yako Mangula Filipo,
Kama ungekuwa demu ningezunyonya hzo nipple
Whatcha sayWewe ni kama popo,
kichwa empty yaani kopo,
unatumia simu gani? Opo!
Unaswali kwa shekhe mwaipopo?
Sawa nakuelewa ila uache tarabu,,Kuwa na adabu
Ishi kistaarabu
Kujuana isiwe sababu
Nisije nikakupa adhabu
Ukapata tabu
Mambo yameniendea kombo japo wanaiita chuma Cha pua,Siwezi kuhangaika mi kwako kuomba dua,,
Sababu mambo madogo unashindwa kung'amua,,
Nacheka na wewe nyani lakini sivuni Bua,,
Ningekuwa Magufuli mi ningeshakutumbua,,
Huu si mwezi may,Whatcha say
Hey hey hey
Nipo zangu Osterbay
Ninapanda bei