Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,603
- 14,183
Bora umelitambua kiakili hujakuwa,,Mambo yameniendea kombo japo wanaiita chuma Cha pua,
Nilidhani mwisho wa Dunia ni pale jua linakotua,
kumbe tatizo ni kwba bado kiakili sijakua,
mambo mengi ndo nazidi kuyaona na kuyajua,
Basi ni bora ukaniona mkosefu na hivyo kunihurumia.
Umeanza kiDerulo ila umeshadelay,Whatcha say
Hey hey hey
Nipo zangu Osterbay
Ninapanda bei
Napumzika kurapHuu si mwezi may,
mi si Theresa May,
wala mtoto fei,
unajua silage na hay?
kunywa kwanza chai 😎.
Hahaha ushaacha ndalaUmeanza kiDerulo ila umeshadelay,
Huwezi weka mitego maana wewe sio Ney,,
Ukinunua mayai nakupa viza tray,
Mmeshanichosha sasa mi nalala no way,,
Home hauna kideo wachekije world cup?Napumzika kurap
Nacheki world cup
Kisha nitarudi pap
Nije kufanya taptap
Nimejishusha tu kidogo ushaanza kutanua,Bora umelitambua kiakili hujakuwa,,
Kama ingekuwa samaki basi wewe ni kibua,,
Na pia pata kujua huwezi kunisumbia,
Huo weupe so wako ila wa kujichubua
Nacheki kwa simuHome hauna kideo wachekije world cup?
Naona hapo tayari ushalewa taputap,,
Kama ungekuwa chuo ungeshazipata Sup,,
Sehemu unapoishi haipo kwa Google map
Huwezi kurap,Napumzika kurap
Nacheki world cup
Kisha nitarudi pap
Nije kufanya taptap
Naweza kurapHuwezi kurap,
umepoteza map,
Bora unywe taputap,
hakika huna hope.
Umenikwaza kinoma nakutandika karati,Nimejishusha tu kidogo ushaanza kutanua,
nikiwa aggressive tu kidogo kilio unaangua,
Nukikunja sura kama ganda la limau mbio unatimua,
ukifika kwa mama yako habari zangu unasimulia.
Hauna hata mabando unachekije kwa simu,,Nacheki kwa simu
Zishanipanda stimu
Sup kwangu ni adimu
Kwetu kupo hadi kwenye kromu
Boy nina majukumuHauna hata mabando unachekije kwa simu,,
Au ndio matatzo ya nyinyi wavuta ndumu,,
Bob junior nahisi wewe ndio uliemchumu,,
Kamlaumu huyo mgumu alokutumu luku kwenye kidumu
Nasikia boli unachop,Naweza kurap
Sijapoteza map
Sinywi taputap
Naosha kama soap
Nigga sili pipiNasikia boli unachop,
kama Suleiman sop,
kila kitu unakopi,
hadi namna ya kula pipi.
Nakuadhibu mbele ya umati,Umenikwaza kinoma nakutandika karati,
Afu nachukua nyundo nakuezeka kama bati,
Hutokuja fika dar utaishia shirati,
Wewe mwembamba af unaleta hisia za u-fat
Unamvua chupi?Nigga sili pipi
Nimeiga kipi
Kosa ni lipi
Akili hainipi
Hahaha ngoja nipumzike kwa leo huku nikipakua mistari mipyaUnamvua chupi?
binti mlamba pipi?
Kwa sura ipi?
kwa makebo yapi?
Malo anasema, "pipi!"