Hivi kwanini mademu wengi wazuri huwa hawana akili?

Hiyo sasa ni discretion yako mkuu. Your life your choices.
Ila wabongo usipowaelewa sana, nenda S.A huko kwa watoto wa kizulu ukaone corporate/ carrier women walivyo smart na wazuri.
Nipe connection...
 
Na wanafanikiwa, wanasema ukisusa yupo mwingine anaililia
Unajua watu wengi wanafikiri mwanamke akianza tu kudanga basi automatically maisha yake yanabadilika, lakini ukweli ni tofauti. Hata kudanga pia mwanamke atahitaji kuji-market na connection kama ilivyo kwenye career zingine. Uchumi wetu sio wa level ya kuzalisha wanaume wengi matajiri. Kwahiyo hata wanawake wazuri huwa wanaishia tu kupigwa pipe na watu wa middle class. Wakija kushtuka 30's. Tayari batch ya watoto wabichi ishaingia sokoni.
 
Hakika ila kwa the time being wakiwa in their prime stages huwa ambii kitu...
Na kama ulivyosema batch mpya ikiingia nao soko linaisha....

In short they usually play a loosing game
 
Wee unataka mwanamke mwenye akili wa nini, huna akili unataka usaidiwe? Wenzako tunataka pisi kali and only pisikali mengine hayatuhusu
Eeeewaaa wewe kijana utaenjoy sana maisha ya duniani...Akili achia maprofesa
 
Aaah pambaneni bwana nyie ndio vichwa vya familia,sisi kazi yetu ni kuwaburudisha tu😁
Hata kama ndo hata nikisafiri nikitaka unisaidie kitu iwe rahisi.. Pia sometimes tunakuwa na vitu vingi tunapaswa kupata mtu wa kutushauri... Wewe ni zaidi ya sura na tako
 
Hata kama ndo hata nikisafiri nikitaka unisaidie kitu iwe rahisi.. Pia sometimes tunakuwa na vitu vingi tunapaswa kupata mtu wa kutushauri... Wewe ni zaidi ya sura na tako
Nyie mkisafiri mtuachie tu maelekezo tutafanya sio tuanze tena kuumiza vichwa😇
 
Concured
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…