harakati za siri
JF-Expert Member
- Aug 23, 2020
- 1,332
- 3,585
Anaona uzuri wake unanunua chochote na kuuza chochote hivyo hamna wa kumpangia lolote.Is it that ego zao zinawapumbaza?
Is it that wamejaaliwa aspect moja ya uzuri wa nje tuu ila wakanyimwa uzuri wa ndani?
Ni rare sana kukuta mdada aliye neemeka na kunawili vilivyo awe na akili.. Mambo ni superficial tuu, mara awaze kapendeza, awaze simu, awaze kama kapewa attention..
Ukimwambia maybe akupe mawazo chanya utasikia me sitaki kuchsha kichwa nina stress nyingi!
Kazi kupost stories fb, na Insta tu, kuonesha makebo yaoo. Yaani their whole identity revolves around uzuri waoo. Hawajui kuwa it perishes tena after 25 yrs, na vile hata hawajui namna ya kutunza miili yao wanapakia msosi ka nguruwe tu.
Wanawake wazuri na wenye akili wanapatikana wapii?
Hawa wengine huwa nachapa na kupita kushoto maana najua nikimwendekeza atanirudisha nyuma malengo yangu..
Ukipata full package we mwanangu ume hit jackpot kabisa.
ipo hivyo kisaikolojiaIs it that ego zao zinawapumbaza?

Hii ni kweli. Huyu wangu niliwahi kuleta samaki mbichi nyingi sana kwa lengo apike nyingine azikaushe kwaajili ya siku zijazo. Cha ajabu akazishemsha zote akaziunga na nyanyaIs it that ego zao zinawapumbaza?
Is it that wamejaaliwa aspect moja ya uzuri wa nje tuu ila wakanyimwa uzuri wa ndani?
Ni rare sana kukuta mdada aliye neemeka na kunawili vilivyo awe na akili.. Mambo ni superficial tuu, mara awaze kapendeza, awaze simu, awaze kama kapewa attention..
Ukimwambia maybe akupe mawazo chanya utasikia me sitaki kuchsha kichwa nina stress nyingi!
Kazi kupost stories fb, na Insta tu, kuonesha makebo yaoo. Yaani their whole identity revolves around uzuri waoo. Hawajui kuwa it perishes tena after 25 yrs, na vile hata hawajui namna ya kutunza miili yao wanapakia msosi ka nguruwe tu.
Wanawake wazuri na wenye akili wanapatikana wapii?
Hawa wengine huwa nachapa na kupita kushoto maana najua nikimwendekeza atanirudisha nyuma malengo yangu..
Ukipata full package we mwanangu ume hit jackpot kabisa.
Fanya uni connect nao maana hata makazini kwenyewe hawapatikaniHizi sifa ni za mwanamke Malaya. Achana nao. Umalaya na akili havikai pamoja.
Sidhani kama wapo mitandaoni, sehemu za starehe n.k huwa wanakuwa na ratiba tight. Akili na kuwa busy vinaenda sambamba ndo maana hawaonekani kiwepesi.
We jamaa ume data sio bure😂Kama unasema ni baadhi yao, hapa tayari umekubali sio mindset ya wanawake kwa ujumla.
Tatizo huwa haliko kwenye jinsia bali kwenye tabia ya mtu binafsi, mbona kuna wanaume wanaotapeli, wanaiba na kuwanatumia wenzao vibaya, lakini huwa hatusemi kuwa hiyo ndiyo mindset ya wanaume.
Nadhani tujifunze kuwahukumu watu kwa tabia zao, na siyo kwa jinsia zao.
Hakuna mwanamke mzuri ambaye Hana akili. Ma polygony ndo hamna kitu, wazuri Wana vipaji na huwezi kuwa celebrity kama Una sura mbaya. Sema wazuri ni expensive.Is it that ego zao zinawapumbaza?
Is it that wamejaaliwa aspect moja ya uzuri wa nje tuu ila wakanyimwa uzuri wa ndani?
Ni rare sana kukuta mdada aliye neemeka na kunawili vilivyo awe na akili.. Mambo ni superficial tuu, mara awaze kapendeza, awaze simu, awaze kama kapewa attention..
Ukimwambia maybe akupe mawazo chanya utasikia me sitaki kuchsha kichwa nina stress nyingi!
Kazi kupost stories fb, na Insta tu, kuonesha makebo yaoo. Yaani their whole identity revolves around uzuri waoo. Hawajui kuwa it perishes tena after 25 yrs, na vile hata hawajui namna ya kutunza miili yao wanapakia msosi ka nguruwe tu.
Wanawake wazuri na wenye akili wanapatikana wapii?
Hawa wengine huwa nachapa na kupita kushoto maana najua nikimwendekeza atanirudisha nyuma malengo yangu..
Ukipata full package we mwanangu ume hit jackpot kabisa.
Hivi unaongea kubisha au?Sawa kabisa,
Tabia ya mtu ya kimaadili haitegemei kabisa jinsia yake,
Sifa kama vile uaminifu,huruma na uadilifu,pamoja na sifa hasi,ni sifa za kibinadamu kwa wote rather than biological or sociological traits,
Individual intelligence is a product of their genetics,environment,education and opportunities,not their gender.
Ukisha Sema expensive unakuwa umeingia kwenye viwango, tu lakini ni wale wale...Hakuna mwanamke mzuri ambaye Hana akili. Ma polygony ndo hamna kitu, wazuri Wana vipaji na huwezi kuwa celebrity kama Una sura mbaya. Sema wazuri ni expensive.
Nakazia 📌🔨.
Huyo jamaa ni feminists...Ndio sijasema wanawake wote kwa ujumla wao, nazungumzia "manipulative behaviour" ya baadhi ya wanawake kwenye mapenzi. Nazungumzia pale ambapo mapenzi yanapogeuka mwanya wa mtu kupigwa matukio, kuibiwa, kutapeleliwa. Hata hivyo nimekuelewa.