Hivi kwanini mademu wengi wazuri huwa hawana akili?

Ukisha Sema expensive unakuwa umeingia kwenye viwango, tu lakini ni wale wale...

Kwani wa kina kajala, kina giggy money vipi, si wale wale kasoro tarehe?
Kumbe unaongelea hao wawili, Mimi naangalia duniani kote mademu wazuri wanaenda Hollywood na sehemu zinazohitaji sura nzuri. Uliona wapi mbaya akaburudisha watu?
 
I don't give a shit..

Kuna watu wanaleta ujuzi feki kumanipulate wengine na huwa siwa vumilii..

Imagine mtu Ana kwambia eti akili ni nini? Hili swali la kumuuliza mtu kweli?

Kwa nini asiende straight to the point
 
Kumbe unaongelea hao wawili, Mimi naangalia duniani kote mademu wazuri wanaenda Hollywood na sehemu zinazohitaji sura nzuri. Uliona wapi mbaya akaburudisha watu?
Mkuu Mbona unaanza kuleta critics tena? Kwa hiyo beauty standard ina kuwa measured na wapi mtu yuko? That's an illusion kuna wanawake wakali wametuzunguka acha ubaguzi
 
Na kubaliana na wewe kwa kiasi

Ila huoni ya kuwa hilo ni tatizo la malezi hasa kwa wote?

Kuna watu, wanawalea wanao vizuri lakini mtoto akienda shuleni anakutana na waliooza na yeye hana budi kuoza
 
usisahau uzuri upo kwenye macho ya mtu ndo maana kila mtu anayo mapendeleo yake,we unaweza kuona mtu/ kitu ni kizuri ila mwenzio asivutiwe nacho, labda utupie ka picha tuone wanawake wazuri kwako wapoje
Macho yanaona cha nje...

Na hapo kila mtu ana chaguo lake

Mimi nimezungumzia akili in such a sense wanafikiria maendeleo na sio uzuri walionao maana uzuri ni superficial ila maendeleo ni muhimu
 
Umeenda mle mle na kuongeza nyama
Ebu fanya kama unamtaja huyo mwakilishi.. 😅

Actually ni dhana potofu na kuwa tajirisha wauza vipodozi, huku wakisahau wanapamba kitu cha muda tu. Bila kuona ni bora niwe mzuri nje na pia thamani yangu iendane na uzuri wangu
 
Okay nitazingatia hili mkuu
 
Unayetaka aungane na wewe kwa hoja ya kijinga kama hii soma kwa ufahamu alicho nijibu , halafu linganisha na majibu unayotoa wewe.

Utofauti utauona tena ni mkubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…