Limbalangule
Senior Member
- Jun 14, 2023
- 136
- 270
Napenda kukupongeza kwa ujumbe mzuri sana ,nakubaliana na wewe.Kaka zangu, mada hii imenigusa sana na ni kweli, wakati mwingine tunaweza kujikuta tunatoa generalizations kutokana na tunachokiona au uzoefu wetu. Lakini nadhani ni muhimu sana kukumbuka kuwa kila mtu ni ulimwengu wake na hatuwezi kuwaweka wote kwenye kundi moja.
Uzuri wa nje ni kitu kinachovutia jicho haraka, na ni kweli wapo wanaoipa kipaumbele kikubwa. Lakini akili na busara mara nyingi hazionekani kwa haraka kama make-up au mavazi maridadi. Pia, akili ina sura nyingi; kuna akili ya darasani, akili ya maisha, akili ya biashara, akili ya kujali wengine, n.k.
Badala ya kukata tamaa, labda tunaweza kujipa muda zaidi kuwafahamu watu kwa undani. Wakati mwingine, mtu anaweza kuwa na uzuri wa nje na ndani, ila tu anahitaji mtu ambaye yuko tayari kuchimba zaidi kugundua huo uzuri wa ndani.
Kama ilivyosemwa, kupata 'full package' ni kweli ni jackpot, na naamini zipo, na sio chache! Labda zinahitaji uvumilivu na macho ya kuona zaidi ya uso. Tusikate tamaa kutafuta watu wenye akili na busara, bila kujali muonekano wao. Ni suala la kujua kipaumbele chako ni nini hasa kwenye mahusiano.
Et kausha damu,unajua kunifurahishaHakika sio kausha damu
Kwani hoja imetokea kwa nani?Zingatia ushauri ulilopewa huko juu, bado haujajua nini maana ya kuleta mjadala jukwaani.
Hauwezi kujibu hoja badala yake unamshambulia mtoa hoja, una utoto sanaa bado.
Bado hujaelewa, rudia kusoma tena.Kwa sababu point yako Hai reflect reality.
Hakuna sehemu nimejibu hivi, iquote hiyo sehemu kama ipo.Kwani hoja imetokea kwa nani?
Wewe like serious unaleta logic gani mkuu eti kila gender inafanya? Yaani eti mwanaamume na yeye ajiangalie jinsi alivyo na aanze kujisifia
Mkuu mwanamke akishakua mzuri akili zinakua hazina kazi atatumia za watakaoona uzuri wake....Is it that ego zao zinawapumbaza?
Is it that wamejaaliwa aspect moja ya uzuri wa nje tuu ila wakanyimwa uzuri wa ndani?
Ni rare sana kukuta mdada aliye neemeka na kunawili vilivyo awe na akili.. Mambo ni superficial tuu, mara awaze kapendeza, awaze simu, awaze kama kapewa attention..
Ukimwambia maybe akupe mawazo chanya utasikia me sitaki kuchsha kichwa nina stress nyingi!
Kazi kupost stories fb, na Insta tu, kuonesha makebo yaoo. Yaani their whole identity revolves around uzuri waoo. Hawajui kuwa it perishes tena after 25 yrs, na vile hata hawajui namna ya kutunza miili yao wanapakia msosi ka nguruwe tu.
Wanawake wazuri na wenye akili wanapatikana wapii?
Hawa wengine huwa nachapa na kupita kushoto maana najua nikimwendekeza atanirudisha nyuma malengo yangu..
Ukipata full package we mwanangu ume hit jackpot kabisa.
Hakuna sehemu nimejibu hivi, iquote hiyo sehemu kama ipo.
Ulimaanisha nini hapa?Tatizo huwa haliko kwenye jinsia bali kwenye tabia ya mtu binafsi, mbona kuna wanaume wanaotapeli, wanaiba na kuwatumia wenzao vibaya, lakini huwa hatusemi kuwa hiyo ndiyo mindset ya wanaume.
Ulimaanisha nini hapa?
Kwenye hiyo hoja yangu kuna haya maneno hapo?Yaani eti mwanaamume na yeye ajiangalie jinsi alivyo na aanze kujisifia
Una uhakika na unacho kisema? Na mbona hakuna wanacho kifanya kimaendeleo?Jinsia 'ke' iko very strategic sana, ukiangalia juu juu waweza kuona hivyo.
Ukitaka kujua akili zao wakute wenyewe kwa wenyewe kwenye vijiwe vyao wakiwa wanapangilia mipango yao.
kila mwanamke anajua kwa nani anataka nini, na kwa nani atumie nguvu, akili au ajifanye hamnazo kabisa.
Mwanamke hawezi kutumia akili sehemu asiyotaka kutumia akili.
Na wengi huwa wanajifanya hawana akili kwa lengo maalum au anajua kabisa hana cha kupoteza kwa uzuzu kwako.
Hili ndiyo jibu nililo kuwa nalitaka basi.Directly no, indirectly yes.
??Alafu?
.. anakuyeyusha kama barafu..Alafu?