Hivi kwanini mademu wengi wazuri huwa hawana akili?

Ukifika kwa wenye makebo makubwa nitag tu nikufungulie
 
Dawa yao yakuamka kiakili inakuwaga moja tu mimba afu awe single mother zile hustle atakazokutananaza ndio ponapona yake anaaza kutanuka kifikra na kujua maana halisi ya maisha.

Single mother wengi wanaangukia hapa.
Kaka Maisha jinsi yalivyo kuna watu will get away with almost everything, kuna watu walizalishwa wakawa single mother of 2 or 3 na bado wakapata mwanaume akampenda yeye na wanae na akamlea softly, mtu kama huyu dunia inaweza isimguse katika kumfunza mpaka anazeeka mpaka anakufa, Japo watu wa hivi wanaweza wasiwe wengi ila wapo.

Nakubaliana na maelezo yako yote ya mwanzo.

Mwanamke ukizaliwa ukajikuta mzuri, hata usipotumia part fulani ya akili yako utaishi tu vizuri, lakini kuishi huko vizuri sio kwamba hawatumii akili kabisa, kuna part wanaitumia ile inayohusika na manipulative skills kama moja ya skills za kusurvive.
 
Umeenda mlemle kabisa mkuu Nitakuja kuongeza nyama na mm
 
Naona umeelewa mada, vizuri sana
 
Mfunze angali mbichi akienda shule hajui umeisha
Kuna mmoja baada ya kumaliza kuniuzia potassium yake ananiambia anajiandaa kwenda kuolewa na mtu mwenye hela ili aache kuuza potassium.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏ Acha niishie hapa tu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…