Hivi kwanini mnapenda Biriani? Sijawahi kupenda Biriani

Wala sijanenepa mtani
Ndio kwanza nimekonda zaidi

Karibu biriyani la Yanga mtaniπŸ˜‚
Karibu tena selfika
Daaah hiyo rangi ya biriani la yangz kama maparachichi 🀣 🀣 🀣 asante sana mtani..
Ila linaonekana tamu mchambuko
 
Naendelea kukutafutia mchumba baby sista...au umehairisha? Maana si kwa pishi hili
😍Sijahairisha dada πŸ˜€Tena nitafutie anaependa kula iyo combination itakuwa balaaπŸ˜€πŸ˜€
 
Daaah hiyo rangi ya biriani la yangz kama maparachichi 🀣 🀣 🀣 asante sana mtani..
Ila linaonekana tamu mchambuko
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Daima mwiko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Daaah hiyo rangi ya biriani la yangz kama maparachichi 🀣 🀣 🀣 asante sana mtani..
Ila linaonekana tamu mchambuko
Tunadumisha asili ya green cityπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Imekolea balaa hadi nikachambwa na walaji,Mimi muda sina
Hutaki kula Yanga πŸ’š lala na njaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…