Hivi kwanini mtu akikataliwa ombi la kuwa wapenzi huwa anakata mawasiliano na yule muhusika?

Hivi kwanini mtu akikataliwa ombi la kuwa wapenzi huwa anakata mawasiliano na yule muhusika?

Kweli kuna mmoja nilimtongoza akanikubali lakini akawa mgumu kunipa penzi, akanipa masharti nivumilie mpaka ndoa, lakini akawa ananiomba pesa kila wakati, nikimuanza kumsalimia ananiomba pesa na akituma sms tu nikijibu tu ananiomba pesa, nikimtumia sms anajibu baada ya siku mbili au anaipotezea, nikimpigia simu akipokea ana sema yupo bize atanitafuta baadae, Sasa na mimi nikajibu mapigo alimtumia sms baada ya masaa sita kupita nikajibu kwa kumuuliza wewe nani mwenzangu? Yeye akajibu Daaah Yani ulishaifuta namba yangu? Mimi nikajibu bado sija kujua wewe nani ? Mpaka leo hii hakujibu tena.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Hii style nzuri sanaaa,
Kuna kenge nitaitumia kwake hii style
 
Kwa wakongwe kukataliwa ni sehemu ya kukubaliwa(watoto hamuwezi kuelewa)
Huwa hatuonyeshi hasira wala chuki au tofauti yoyote, mawasiliano ya salamu kujuliana hali yanakuwepo, utani na ucheshi ndani yake.
Ipo siku tu atapata kwangu kitu ambacho ni furaha kwake ila hakipati kwa mwenzi wake na hapo ndipo huitumia nafasi nilioisubiri kwa muda mrefu, hata kama hatokuwa mpenzi ila nitamtafuna tu.
 
Nimekuwa around wadada hom, nimeshuhudia firsthand washkaji walichokuwa wakifanyiwa mtu kaambiwa “No!” Bado analeta usharu khan kujifanya anamjua sana sister kuliko waliomzaa…
Wana ukishaambiwa No kwenye mapenz halaf unabaki baki unaonekana kwanza hujui nini unataka.. na sio kwenye mapenzi tu…
Pili unakuwa unajichoresha maana huyo mhusika from there anakuwa kila ufanyacho anakuenjoy tu..
Mwisho kabisa usipostuka utaishia kuwa “Used” kwa namna nyingi tu bila manufaa yoyote kwako…

Kuna matukio mengi tu niliona mengine ya kusikitisha kbs wana walikuwa wakifanyishwa yaani dah!

Hayo ndio nilishuudia kipindi cha ukuaji wangu..
 
Huyo mkuu mkimbie huyo kafata ndoa baada ya kuona alipo kuwepo hakuna ndoa, kwa hiyo ukiingia kingi na kumuoa tu utaanza kuona vitimbi ndani ya ndoa.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Siezi thubutu nlishampotezea miaka hiyo, alipokuwa miaka yote huko ndio wampe ndoa ila sio kwangu. Wahivi wapo wengi sana hasa maclass mate wa age yangu wanalilia sana ndoa.
 
Huyo kashakuwa msimbe a.k.a kibungo

Wakijileta kama hivyo wahuni huwa wanasuuza rungu na kusepa

Lakini ukitaka ajisikie vibaya zaidi kama ulivyofanya hamna kumpa attention

Aende kwa mtume wao Kawe kwa Mwamposa
Alinileteaga pozi sana huyo she, nakumbuka niliwahi kula kuku mzima kwa ahadi zake butu za kuwa anakuja nimuandalie hiki na kile kumbe ananchora tu, muda ukafika anasema awez kuja nimpelekee hostel kwao nkaona huu sasa ujinga acha nile nusu hasara.
 
Alinileteaga pozi sana huyo she, nakumbuka niliwahi kula kuku mzima kwa ahadi zake butu za kuwa anakuja nimuandalie hiki na kile kumbe ananchora tu, muda ukafika anasema awez kuja nimpelekee hostel kwao nkaona huu sasa ujinga acha nile nusu hasara.
Oyaaa 🤣🤣 bora nusu hasara mwanangu

Eti kidume kabisa utoke magetoni ukampelekee manzi kuku hostel acha apambane na hali yale kwa sasa
 
Sitongozi mwanamke saivi,labda iwe nmekupendea gizani (kama hawa wadada wa JF)

ILA hawa wa mtaani sitongozi,nakutreat kama mpenzi,zawadi zote,outing zote,mwishowe kimasihara ikiwa serious its okay kama itaishia hapo hapo its okay pia.
Hii ndio style yangu aiseeee.
 
Kuna manzi moja nilitongozaa ikasema tuishie kuwa marafiki ila hela zangu anakula na vizinga vya hapa na pale ananipiga...nikaona isiwe shida nika mute tumekaa kama mwezi hivi kanipigia simu upo wapi nikamwambia gheto .....kwa vile gheto langu anapajua akaja kufika anaanza kunieleza sijui anataka akanunue simu kapelea laki...nikajifanya kumkazia sinaa...alikuwa kavaa sketi nikasema ngoja nitest kumshikashika heee nikaona katulia kimyaaa nikazama mpaka ndani ya gauni kucheck hata chupi hajavaa nikaanza pima oil pale kitu inamwaga tu majiii mara ghafla ananiambia D si utanisaidia hiyo pesa nikamwambia ndio kumbe angejua nyege tu pale zinamjibu...nyege zangu zikamwambia kesho nitakupa pesa ......mtoto akaniambia ngoja nikajisafishe kwanza maliwato then tuendeleeee .....kilichofuatia ni gemu hadi asubuhi ......asubuhi nikamwambia nitakutumia....mpaka leo anasubiri kutumiwa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sio unaacha mawasiliano tu..unafuta namba zake pote na kama umemfollow kwenye social netwrk unamu unfollow
unless iwe sababu kuu ya wewe kuwa na mawasiliano naye toka mwanzo kwa upande wako ilikuwa na lengo la kumtaka kimapenzi, naona uamuzi wako sio wa busara. Huwezi kukata mawasiliano na mtu kwa sababu tu amekukukataa kimapenzi. Kuwa na contact za watu wengi ni kujijengea networking, huwezi jua kesho utakuja kuhitaji kitu au msaada kwao kama ambavyo na wao wanaweza kuhitaji msaada kwako. Kuwa na netwok ni jambo muhimu duniani. Kama mimi ningelipunguza mawasiliano nae to let say 20% lakini nisingelimfuta katika contacts zangu hasa hasa kama amenikataa bila ya kunionyesha dharau au kunifanyia dhihaka.
 
Kwanini hampendi??
Chukulia kuna mwanaume mitaa ya kwenu unampenda una crush nae kweli kweli, kila ukijaribu kumuonesha ishara na kujipendekeza kwake ili akutongoze, huyo mwanaume anajifanya haelewi nia yako na anaongea tu na wewe kawaida ila hakutongozi anaishia kukupotezea, baada ya muda utajisikiaje/ utamuonaje huyo mwanaume? Depal
 
Kashakataliwa aendelee kungoja nn ,upoyezaji WA muda tu

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hahaaa ndo maana Mimi sitongozagi mademu wa sehemu za kazi/ofisi Moja, anakukataa half kila siku unakua unamuona yeye, that's awkward, awaambie mashosti zake wote wa kike pale ofisini kuwa ulimtongoza akakataa, dah Joline
 
Back
Top Bottom