Beberu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 4,548
- 9,740
Hii style nzuri sanaaa,Kweli kuna mmoja nilimtongoza akanikubali lakini akawa mgumu kunipa penzi, akanipa masharti nivumilie mpaka ndoa, lakini akawa ananiomba pesa kila wakati, nikimuanza kumsalimia ananiomba pesa na akituma sms tu nikijibu tu ananiomba pesa, nikimtumia sms anajibu baada ya siku mbili au anaipotezea, nikimpigia simu akipokea ana sema yupo bize atanitafuta baadae, Sasa na mimi nikajibu mapigo alimtumia sms baada ya masaa sita kupita nikajibu kwa kumuuliza wewe nani mwenzangu? Yeye akajibu Daaah Yani ulishaifuta namba yangu? Mimi nikajibu bado sija kujua wewe nani ? Mpaka leo hii hakujibu tena.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Kuna kenge nitaitumia kwake hii style