Hivi kwanini nchi za Afrika haziruhusiwi kujiunga na NATO, sasa vita ya WW3 itakuwaje au kuna African Union army?

Ukraine waliambiwa msiwe na nuclear mkiingiliwa Kivita tutawasaidia .Matokeo yake tumeyaona .Sasa inavyoonekana kichaa Putin ataanzisha www 3 maana haambiliki Sasa Hivi .Sasa Sisi nchi za africa tutatetewa na NATO au ndio basi
Nyie Waafrika mpigwe kwa jambo lipi? Kwanza hata hamjitambui kwa lolote, iwe giza au iwe nuru nyie mpompo tu.
 
Ukraine waliambiwa msiwe na nuclear mkiingiliwa Kivita tutawasaidia .Matokeo yake tumeyaona .Sasa inavyoonekana kichaa Putin ataanzisha www 3 maana haambiliki Sasa Hivi .Sasa Sisi nchi za africa tutatetewa na NATO au ndio basi
Jiulize toka lini Umoja wa Afrika unaisaidia Afrika? Kile chombo ni useless kabisa.
 
Ukraine waliambiwa msiwe na nuclear mkiingiliwa Kivita tutawasaidia .Matokeo yake tumeyaona .Sasa inavyoonekana kichaa Putin ataanzisha www 3 maana haambiliki Sasa Hivi .Sasa Sisi nchi za africa tutatetewa na NATO au ndio basi
Ni shiraka la kujihami la Nchi za Magharibi sio nchi za Africa.
 
Ukraine waliambiwa msiwe na nuclear mkiingiliwa Kivita tutawasaidia .Matokeo yake tumeyaona .Sasa inavyoonekana kichaa Putin ataanzisha www 3 maana haambiliki Sasa Hivi .Sasa Sisi nchi za africa tutatetewa na NATO au ndio basi
Huyo muuaji, dikteta Putin hawezi kuvamia Afrika kwa sababu siyo tishio kwake kwa lolote.
 
Ukraine waliambiwa msiwe na nuclear mkiingiliwa Kivita tutawasaidia .Matokeo yake tumeyaona .Sasa inavyoonekana kichaa Putin ataanzisha www 3 maana haambiliki Sasa Hivi .Sasa Sisi nchi za africa tutatetewa na NATO au ndio basi
Hatuwezi kujiunga wala kutegea NATO kwa sababu Nato ni genge la mumiani wapenda kumwaga damu za watu. Vita zote zilizotoka toka kuisha kwa enzi za 'vita baridi' na kuporomoka kwa kambi ya mashariki, zimeletwa na kuasisiwa na Nato: Iraq, Afghanistan, Yemen, Syria, nk, yote ni mauaji ya Nato.

Hata hii ya Ukraine, chimbuko kabisa ni uroho wa Nato. Wakafie mbali hao mumiani wapenda kumwaga damu za watu.
 
Ukraine waliambiwa msiwe na nuclear mkiingiliwa Kivita tutawasaidia .Matokeo yake tumeyaona .Sasa inavyoonekana kichaa Putin ataanzisha www 3 maana haambiliki Sasa Hivi .Sasa Sisi nchi za africa tutatetewa na NATO au ndio basi
Jamani jamani hivi lakini hivi huyu ndugu yetu hata anafahamu nini maana ya NATO? Kwa nini hakuanza na hilo kabla ya kuuliza kwa nini nchi za afrika haziruhusiwi kujiunga na NATO?
 
Ukraine waliambiwa msiwe na nuclear mkiingiliwa Kivita tutawasaidia .Matokeo yake tumeyaona .Sasa inavyoonekana kichaa Putin ataanzisha www 3 maana haambiliki Sasa Hivi .Sasa Sisi nchi za africa tutatetewa na NATO au ndio basi
Maana yake endeleeni kutetea slave masters wenu badala ya kuangalia njia rahisi ya kutumia huu mgogoro kujiimarisha.

Mpaka sasa African Union imekaa kulaani ujinga badala ya kukaa na kupanga mipango namna ya kuwauzia bidhaa wazungu wawe slaves wetu

Miafrika bana, leo unakutana na mwafrika anasifia Putin au Zelensky as if ni baba zake wadogo. Waafrika bana
 
Wakuu endeleeni kuchangia basi Thread hiyo, tuendelee kupata burdan....
 
Back
Top Bottom