Hivi kwanini nchi za Afrika haziruhusiwi kujiunga na NATO, sasa vita ya WW3 itakuwaje au kuna African Union army?

Hivi kwanini nchi za Afrika haziruhusiwi kujiunga na NATO, sasa vita ya WW3 itakuwaje au kuna African Union army?

Yaani Urusi imevunja makubaliano yaliyofanywa baina yake, NATO na Ukraine kuhusu silaha za nyuklia. Kuna jamaa mmoja aliandioka kuwa hilo ni kosa kwa vile Urusi itaweza kuinyanasa Ukraine, ila Ukraine wao waliamini kuishi bila uadui, sasa hivi putin amewaharabia nchi yao kwa kubomoa karibu kila kitu na kuuwa watu hovyo. Halafu eti anataka Ukarine iandike kuwa haitajiunga na NATO ilhali yeye tayari alishaonyesha kuwa haheshimu makubalino. Kinachonisikitisha ni pale NATO imeshindwa kuingilia kati kuiokoa Ukraine na uharibifu huo.

Kitu kimoja nimejifunza, ni kuwa jeshi la Urusi ni dhaifu sana, ila lina mabomu mengi na makombora mengi ambayo ndiyo wanatumia tu. Inapokuwa kupambana ana kwa ana wamekuwa wanashindwa vibaya sana. Wanategemea mabomu ndiyo yafanya kazi ye kuua watu karibu wote kwenye mji halafu wao waingie kukiwa hakuna upinzani wowote.
Kwa akili yako unadhani NATO wanaogopa kundi kubwa la askari ?
NATO wanaogopa hayo mabomu, hata Libya ilisambaratishwa kwa mabomu. NATO walifurumushwa na Mrusi ndani ya Syria kwa kutumia mabomu sio askari. Kama issue ni askari, warabu wasingeshambuliwa na wazungu maana wana askari hodari na wenye ujasiri kuliko wazungu lakini hawama uwezo wa kupambana na wazungu.
Bomu la leo ni sawa na bunduki enzi za utumwa, tuliingizwa utumwani kwa sababu hatukuwa na bunduki na ipo siku tutashambuliwa na mabomu mazito na hao wazungu na hatutakuwa na cha kuwafanya.
North Korea hatoshambuliwa na NATO kwa sababu ya Nuclear Bom. Iran haishambuliwi na Islael kwa sabu ina mabomu mengi kama ilivyo islael. BOMU ndio koka kitu ika waafrika tupo tupo gu hatujielewi tutakuja amka pindi tupo kwenye minyororovya wazungu.
Askari hata awe shupavu vipi hawezi vumilia bomu.
 
Kwani unadhani kuwa NATO hawana hayo Mabomu? Halafu Inaelekea hujui matumizi ya mabomu kwenye vita; mabomu yote ya mizinga na ya kudondoshwa na ndege "air support". Lengo lake ni kumdhaifisha adui kabla ya ground assult. Hata Libya, mabomu yalitumika hivyo kwa vile ground assault ilikuwa inafanywa na jeshi la uasi. Siyo mabomu yaliyoiangusha serikali ya Libya bali ni wale wapiganaji waliokuwa ardhini.

Jeshi haliwezi kuwa imara kwa kutumia mabomu mengi sana huku linapoteza apoteza askari wake wengi sana wa ardhini pamoja vifaru na magari ya daraya kwa wingi sana. Sasa hivi Urusi pamoja na kutumia mambomu, imeshapoteza zaidi ya askari 13000 ukilinganisha ukraine inayosemekana kupoteza kama askari 1500. Sikiliza kwamba Urusi imeomba msaada wa askari wa miguuni kutoka Syria
 
Back
Top Bottom