Hivi kwanini nchi za Afrika haziruhusiwi kujiunga na NATO, sasa vita ya WW3 itakuwaje au kuna African Union army?

Hivi kwanini nchi za Afrika haziruhusiwi kujiunga na NATO, sasa vita ya WW3 itakuwaje au kuna African Union army?

Huyo muuaji, dikteta putin hawezi kuvamia Afrika kwa sababu siyo tishio kwake kwa lolote
WW3 Putin mwemyewe hatokuwa hai utakuwa Una cheza mziki wa USA na uk hapo tutajutia uhuru
 
Chadema ikichukua nchi 2025 kama tunavyotarajia nitashauri tujiondoe AU
Nadhani viongozi wetu wengi MUNGU amewaacha wajiendee wenyewe maana haiwezekani na rasilimali zooote zilizopo afrika bado kuna njaa, umasikini , maradhi na ujinga!
Mtu asiyejali wa nyumbani mwake ( waafrika wenzie) ni mbaya kuliko asiye amini!
 
Sasa WW3 tirafanyage maana hata uk washatupa independent
 
Maana yake endeleeni kutetea slave masters wenu badala ya kuangalia njia rahisi ya kutumia huu mgogoro kujiimarisha.

Mpaka sasa African Union imekaa kulaani ujinga badala ya kukaa na kupanga mipango namna ya kuwauzia bidhaa wazungu wawe slaves wetu

Miafrika bana, leo unakutana na mwafrika anasifia Putin au Zelensky as if ni baba zake wadogo. Waafrika bana
Yaani H
Nyie Waafrika mpigwe kwa jambo lipi??--- kwanza hata hamjitambui kwa lolote, iwe giza au iwe nuru nyie mpompo tu.
are you kidding me
 
Nadhani viongozi wetu wengi MUNGU amewaacha wajiendee wenyewe maana haiwezekani na rasilimali zooote zilizopo afrika bado kuna njaa, umasikini , maradhi na ujinga!
Mtu asiyejali wa nyumbani mwake ( waafrika wenzie) ni mbaya kuliko asiye amini!
Haya mambo ya Mungu atusaidie
 
Ukraine waliambiwa msiwe na nuclear mkiingiliwa Kivita tutawasaidia .Matokeo yake tumeyaona .Sasa inavyoonekana kichaa Putin ataanzisha www 3 maana haambiliki Sasa Hivi .Sasa Sisi nchi za africa tutatetewa na NATO au ndio basi
NATO maana yake moja ya nchi zake ikipigwa, nchi zingine zinaenda kusaidia. Sasa nchi za Africa ziko tayari kupigana kwa mfano kama America ikipigwa au Ufaransa ikipigwa?
 
Ukraine waliambiwa msiwe na nuclear mkiingiliwa Kivita tutawasaidia. Matokeo yake tumeyaona. Sasa inavyoonekana kichaa Putin ataanzisha www 3 maana haambiliki Sasa Hivi. Sasa Sisi nchi za Africa tutatetewa na NATO au ndio basi.
Hata kutumia silaha za jadi hatujajua bado, ...
 
Ukraine waliambiwa msiwe na nuclear mkiingiliwa Kivita tutawasaidia. Matokeo yake tumeyaona. Sasa inavyoonekana kichaa Putin ataanzisha www 3 maana haambiliki Sasa Hivi. Sasa Sisi nchi za Africa tutatetewa na NATO au ndio basi.
Wew jamaa huna akili huwezi kumwita hivyo Rais Putin mtu anayekataa uhuni wa Marekani

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nadhani viongozi wetu wengi MUNGU amewaacha wajiendee wenyewe maana haiwezekani na rasilimali zooote zilizopo afrika bado kuna njaa, umasikini , maradhi na ujinga!
Mtu asiyejali wa nyumbani mwake ( waafrika wenzie) ni mbaya kuliko asiye amini!
Bado tinajilimbizia kwanza ili watoto na wajukuu wasipate tabu, maana sisi tinazaa sana walemavu !!!
 
Ukraine waliambiwa msiwe na nuclear mkiingiliwa Kivita tutawasaidia. Matokeo yake tumeyaona. Sasa inavyoonekana kichaa Putin ataanzisha www 3 maana haambiliki Sasa Hivi. Sasa Sisi nchi za Africa tutatetewa na NATO au ndio basi.
Ndio maana Nyerere na wenzake walianzisha NAM....
 
Nyie Waafrika mpigwe kwa jambo lipi? kwanza hata hamjitambui kwa lolote, iwe giza au iwe nuru nyie mpompo tu.

Labda wewe ndio hujitambui na kizazi chako....ninajivunia uafrika wangu na ninafurahi kuzungukwa na waafrika wenzangu.

Tujitahidi kuziponya akili na fikra zetu toka utumwa wa wakoloni.
 
Hatuwezi kujiunga wala kutegea NATO kwa sababu Nato ni genge la mumiani wapenda kumwaga damu za watu. Vita zote zilizotoke toka kuisha kwa enzi za 'vita baridi' na kuporomoka kwa kambi ya mashariki, zimeletwa na kuasisiwa na Nato, Iraq, Afghanistan, Yemen, Syria, nk, yote ni mauaji ya nato.
Hata hii ya Ukraine, chimbuko kabisa ni uroho wa Nato. Wakafie mbali hao mumiani wapenda kumwaga damu za watu.
Kaa kutulia huijui dunia wewe

War is the way of peace..bila kusambaratishwa huko mashariki ya kati dunia ingekua sio mahali salama pa kuishi..huoni sasahivi mashariki ya kati amani tele..watu wanafurahia maisha dubai na abudabi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom