Hivi kwanini nchi za Afrika haziruhusiwi kujiunga na NATO, sasa vita ya WW3 itakuwaje au kuna African Union army?

Hivi kwanini nchi za Afrika haziruhusiwi kujiunga na NATO, sasa vita ya WW3 itakuwaje au kuna African Union army?

Ukraine waliambiwa msiwe na nuclear mkiingiliwa Kivita tutawasaidia. Matokeo yake tumeyaona. Sasa inavyoonekana kichaa Putin ataanzisha www 3 maana haambiliki Sasa Hivi. Sasa Sisi nchi za Africa tutatetewa na NATO au ndio basi.
Yaani Urusi imevunja makubaliano yaliyofanywa baina yake, NATO na Ukraine kuhusu silaha za nyuklia. Kuna jamaa mmoja aliandioka kuwa hilo ni kosa kwa vile Urusi itaweza kuinyanasa Ukraine, ila Ukraine wao waliamini kuishi bila uadui, sasa hivi putin amewaharabia nchi yao kwa kubomoa karibu kila kitu na kuuwa watu hovyo. Halafu eti anataka Ukarine iandike kuwa haitajiunga na NATO ilhali yeye tayari alishaonyesha kuwa haheshimu makubalino. Kinachonisikitisha ni pale NATO imeshindwa kuingilia kati kuiokoa Ukraine na uharibifu huo.

Kitu kimoja nimejifunza, ni kuwa jeshi la Urusi ni dhaifu sana, ila lina mabomu mengi na makombora mengi ambayo ndiyo wanatumia tu. Inapokuwa kupambana ana kwa ana wamekuwa wanashindwa vibaya sana. Wanategemea mabomu ndiyo yafanya kazi ye kuua watu karibu wote kwenye mji halafu wao waingie kukiwa hakuna upinzani wowote.
 
Attachments

Chadema ikichukua nchi 2025 kama tunavyotarajia nitashauri tujiondoe AU
Ichukue nchi kwa Katiba hii na Tume ya uchaguzi hii hii ya sasa? Bila Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi msitarajie kuiondoa CCM madarakani. Hilo mlisahau. Ongezeni nguvu kupigania kupatikana kwa Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi, kabla ya kufikiria uchaguzi mkuu wa 2025
 
Ukraine waliambiwa msiwe na nuclear mkiingiliwa Kivita tutawasaidia. Matokeo yake tumeyaona. Sasa inavyoonekana kichaa Putin ataanzisha www 3 maana haambiliki Sasa Hivi. Sasa Sisi nchi za Africa tutatetewa na NATO au ndio basi.
Inaelekea hata maana ya kuanzishwa NATO hujui.
 
Sisi tunamuunga mkono Putin.

Hata demu wangu alinipenda baada ya kumkabili mjeda wa JW mpaka akasalimu amri.

Kwa nini ufanye urafiki na muoga?
 
Ndio upofu huu naouona na ubinafsi pia! Huwa nawaangalia viongozi wanapotoa tuvimuchango, wakisifiwa na MC yaani masikini wanaamka nakushangilia na wimbo wa kumsifu anatungiwa papo hapo! Kuwa kiongozi ni MUNGU amekufanya daraja ili wengine wapite nahumo humo MUNGU amekutengea vyakwako! Unaowaongoza wakiishi vizuri hawatakulaumu hata kukitokea mushkeli watasimama na wewe! Sasa hawa viongozi wetu wao kutwa nikusimama na waganga, dharau , kujikweza na kufuru za kutisha! MUNGU lazima awaache!
Maneno mazito haya !!
 
Huyo muuaji, dikteta putin hawezi kuvamia Afrika kwa sababu siyo tishio kwake kwa lolote
Sio tishio kwake lakini anajua kuwa mataufa mengi ya ulaya na magharibi yana maslahia makubwa Afrika, hivyo anaweza kupiga Afrika kuwaumiza wa Magharibi, for instance ikipigwa migodi ya huko CONGO, zikisambaratishwa ACACIA, migodi iliyoko South Afrika huko unadhani mwenye kulia ni nani?
 
Ukraine waliambiwa msiwe na nuclear mkiingiliwa Kivita tutawasaidia. Matokeo yake tumeyaona. Sasa inavyoonekana kichaa Putin ataanzisha www 3 maana haambiliki Sasa Hivi. Sasa Sisi nchi za Africa tutatetewa na NATO au ndio basi.
Usiogope mpendwa...huyo 'kichaa' Putin tukimpiga jujuu lazima adate na makombora yake yatageuka barafu tu.
 
Kujiunga na NATO ni pesa ndefu sana nchi za Africa haziwezi hicho kiingilio, fikiria Ukrein itaweza kupata uanachama kamili baada ya miaka 15 kuanzia sasa.
 
Africa hapigwi wala kuvamiwa bali wao (Wakubwa)ndio watatwangana kwa ajili ya Africa.

Na kila anayepigana atasema anatutetea.

Sisi ni spesho race.
 
Back
Top Bottom