Hivi kwanini nchi za Afrika haziruhusiwi kujiunga na NATO, sasa vita ya WW3 itakuwaje au kuna African Union army?

Kwa akili yako unadhani NATO wanaogopa kundi kubwa la askari ?
NATO wanaogopa hayo mabomu, hata Libya ilisambaratishwa kwa mabomu. NATO walifurumushwa na Mrusi ndani ya Syria kwa kutumia mabomu sio askari. Kama issue ni askari, warabu wasingeshambuliwa na wazungu maana wana askari hodari na wenye ujasiri kuliko wazungu lakini hawama uwezo wa kupambana na wazungu.
Bomu la leo ni sawa na bunduki enzi za utumwa, tuliingizwa utumwani kwa sababu hatukuwa na bunduki na ipo siku tutashambuliwa na mabomu mazito na hao wazungu na hatutakuwa na cha kuwafanya.
North Korea hatoshambuliwa na NATO kwa sababu ya Nuclear Bom. Iran haishambuliwi na Islael kwa sabu ina mabomu mengi kama ilivyo islael. BOMU ndio koka kitu ika waafrika tupo tupo gu hatujielewi tutakuja amka pindi tupo kwenye minyororovya wazungu.
Askari hata awe shupavu vipi hawezi vumilia bomu.
 
Kwani unadhani kuwa NATO hawana hayo Mabomu? Halafu Inaelekea hujui matumizi ya mabomu kwenye vita; mabomu yote ya mizinga na ya kudondoshwa na ndege "air support". Lengo lake ni kumdhaifisha adui kabla ya ground assult. Hata Libya, mabomu yalitumika hivyo kwa vile ground assault ilikuwa inafanywa na jeshi la uasi. Siyo mabomu yaliyoiangusha serikali ya Libya bali ni wale wapiganaji waliokuwa ardhini.

Jeshi haliwezi kuwa imara kwa kutumia mabomu mengi sana huku linapoteza apoteza askari wake wengi sana wa ardhini pamoja vifaru na magari ya daraya kwa wingi sana. Sasa hivi Urusi pamoja na kutumia mambomu, imeshapoteza zaidi ya askari 13000 ukilinganisha ukraine inayosemekana kupoteza kama askari 1500. Sikiliza kwamba Urusi imeomba msaada wa askari wa miguuni kutoka Syria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…