Hivi kwanini nguvu za waganga wa kienyeji wengi wakianza ufuska/umalaya nguvu zao za tiba zinaisha?

Tiba za kienyeji ili zifanikiwe zinahusisha imani kwa kiasi kikubwa(haswa kwa anayehitaji tiba).

Sasa, kama mgonjwa anakuja na imani yake kwamba atapata tiba na atapona badala yake mganga anamtaka kingono(hata kama ataihusisha na matibabu yenyewe), imani ya mgonjwa kupona inapungua hivyo kuharibu uponyaji.
Sifa ya mganga inaanza kuharibikia hapo.
 

Hiv ile ndege ilirudi?

Halafu nakumbuka miaka ya 2006 hivi kuna mtoto alitangazwa kupotea huko ulaya alikua anatangazwa sana na cnn mpaka shehe yahya akaingilia kati naye sijui alipatikana?
 
Kuna watu mapenzi yanawaongezea nguvu.
Kuna wengine yanawapunguza nguvu.
 
Kuna dogo huku kwetu alikuwa msanii na kaweka rasta,sasa mizimu yake ikataka awe mganga,kishingo upande akakubali baada ya hyo mizimu kumsumbua akaanza kutoa huduma

mWanzo akawa na wateja wengi tu,alikuwa ametafuta mbugani huko kaweka vijumba vyake,baadae akaanza umalaya na kucheza kamali,wateja wakaanza kupungua akaanza hadi kuuza baadhi ya mali zake ikiwemo hadi pikpik moja matata sana na alikuwa anaipenda sana

Baadae alihama
 
Kuna stori nlisoma humu nadhani aliiandika mkongwe JBourne59 JBourne59 kama ukifanikiwa kuisoma itakufunua kidogo
 
Mganga hatakiwi kulala na mtu aliyemfanyiq kazi akifanya hivyo nguvu zake hupungua. Hii ni miiko ya uganga hairuhusiwi. .

Ila mganga akilala na mtu baki nadhani haina shida.
 
Tendo la ndoa linajumuisha mabadilishano na unyonyaji wa natural gifts. Kadiri unavyoendelea kubadili wanwanawake ndivyo natural gifts zako zinavyopungua
Sasa mkuu mbona hukusema mapema dah [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…