Hamza swakala
JF-Expert Member
- Feb 14, 2022
- 479
- 619
[emoji23]Because when they share a bed with women they lose more electrons so their shells remain empty and can't function appropriately
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23]Because when they share a bed with women they lose more electrons so their shells remain empty and can't function appropriately
Kuhusu sigara sifahamuVipi kuhusu uvutaji wa sigara kwa Mganga?
Uhalisia waganga hawanaga nguvu zozote .. ni janja janja za kisaikolojia na viini macho tu.
Kama unabisha weka password kwenye simu yako. Hakikisha unaijua peke yako hata mkeo wala mama yako haijui..
Kisha nenda kwa mganga.. mwambie apige ramli zake na dawa zake kisha aitoe password simu yako uone kama ataweza
Ndege ya malaysia airline mh 370 ilivyopotea lilitangazwa dau kwa waganga dunia nzima waseme iko wapi.. waganga kimyaaaa kama hawajaona tangazo vile
Kuna watu mapenzi yanawaongezea nguvu.Wasalaam nyote,
Tukubbali tukatae Rais Hassan. Anaupiga mwingi, 🙏🙏🙏🙏🙏
Niende kwenye mada moja kwa zote, katika harakati zangu za kuchangamana na watu mbalimbali sehemu nyingi katika mizunguko ya kikazi hasa ndani ya nchi si mara moja nimewasikia wakulungwa wakisema.
Mganga wa kienyeji awaye yeyote awe wa kitabu, tunguli, awe wa kurithi mizimu, akianza ufuska ama umalaya tu nguvu za tiba na ubora wake vinapotea, kupungua au kuexpire kabisa. Je umalaya unasumu gani kwenye tiba za uganga ?
Je kuna uhusiano gani kati ya hivi vitu nguvu za uganga na umalaya?
Wenye uzoefu au idea elimu asili na elimu tiba asili karibu kwa majibu tafadhari,
Wadiz
ccc. UMUGHAKA
ccc. Mshana Jnr
ccc. etc
Hii ni nice..dadavua vizur mkuuTendo la ndoa linajumuisha mabadilishano na unyonyaji wa natural gifts. Kadiri unavyoendelea kubadili wanwanawake ndivyo natural gifts zako zinavyopungua
Kuna stori nlisoma humu nadhani aliiandika mkongwe JBourne59 JBourne59 kama ukifanikiwa kuisoma itakufunua kidogoWasalaam nyote,
Tukubbali tukatae Rais Hassan. Anaupiga mwingi, [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Niende kwenye mada moja kwa zote, katika harakati zangu za kuchangamana na watu mbalimbali sehemu nyingi katika mizunguko ya kikazi hasa ndani ya nchi si mara moja nimewasikia wakulungwa wakisema.
Mganga wa kienyeji awaye yeyote awe wa kitabu, tunguli, awe wa kurithi mizimu, akianza ufuska ama umalaya tu nguvu za tiba na ubora wake vinapotea, kupungua au kuexpire kabisa. Je umalaya unasumu gani kwenye tiba za uganga ?
Je kuna uhusiano gani kati ya hivi vitu nguvu za uganga na umalaya?
Wenye uzoefu au idea elimu asili na elimu tiba asili karibu kwa majibu tafadhari,
Wadiz
ccc. UMUGHAKA
ccc. Mshana Jnr
ccc. etc
Sasa mkuu mbona hukusema mapema dah [emoji16][emoji16][emoji16]Tendo la ndoa linajumuisha mabadilishano na unyonyaji wa natural gifts. Kadiri unavyoendelea kubadili wanwanawake ndivyo natural gifts zako zinavyopungua
Tufanyie jambo jema mkuu tupiemo link maeneo hayaKuna stori nlisoma humu nadhani aliiandika mkongwe JBourne59 JBourne59 kama ukifanikiwa kuisoma itakufunua kidogo
Machine huyo niliemtag hapo alaf utaona story zake.Tufanyie jambo jema mkuu tupiemo link maeneo haya