Sahihi kama mnakutana tu kijiweni.unajua kiasili wanaume huwa hatupendi kufuatiliana wala kufuatiliwa hiyo ndio sababu hata tukikutana hatupendi kuulizana sana stori za majina yetu
Hmm Matrako hapana!Wanaume tuna majina tunaitana utasikia
- Oya
- Mwanangu
- Mjomba
- Kiongozi
- we matrako
- mjuba
- Chalii
- Mdau
- we mbwa
Hahah kuna rafkiangu alikuwa hawezi kabisa kuuliza jina, akakapenda kadogo ka certificate, acha akasave cheti totoMimi siwezi iyo kazi ๐ naweza mpa tu jina lolote kama siku iyo alikuja ameshika Tecno naandika braza Tecno
We mat,, na we mbwa wanaitana labda wavulana , uniite hivyo nakulamba kofi zito. bwasheeWanaume tuna majina tunaitana utasikia
- Oya
- Mwanangu
- Mjomba
- Kiongozi
- we matrako
- mjuba
- Chalii
- Mdau
- we mbwa
Mimi pia huwa siulizi majina ila tukifikia stage ya kugawana namba nitauliza nisave nani?Mimi siwezi iyo kazi ๐ naweza mpa tu jina lolote kama siku iyo alikuja ameshika Tecno naandika braza Tecno
Mhh.. Wapi huko? Sidhani kama uko sahihi. BTW unapokutana na mtu usiyemjua mara ya kwanza unaanza kwa kujitambulisha wewe. Naweza kusema ''mimi naitwa Macho'' Na wewe unanijibu ''Mimi naitwa Mtaachana''. Yes, kuna wakati unaweza kumpiga swali mtu ''wewe unaitwa nani?'' lakini kistaarabu unajitambulisha wewe kwanza.Wanaume wanaweza wakawa marafiki hata mwaka mzima, ila awajuani majina yao