Huwa tuna naming system zetu kivyetu.
Mfano ukiwa Mweupe watakuita "Zungu" .
Ukiwa na mdomo sana watakuita "Manara"
Haina haja ya kujuana majina.
Nimekuwa na rafiki yang miaka mitatu jina nalolijua ni tukiitana wizzo man,Hahah kuna rafkiangu alikuwa hawezi kabisa kuuliza jina, akakapenda kadogo ka certificate, acha akasave cheti toto
Khee! Kweli wanaume ni ma-dismimder๐๐พ Ila hiyo wizzo sisi huku tunaitana wifi๐Nimekuwa na rafiki yang miaka mitatu jina nalolijua ni tukiitana wizzo man,
Siku aliokuja kuoa ndio nikasikia wanamuita Kelvin ๐ ๐
Niliishiwa poz Kwanzaa duh
Baba SwaleheBaba swalehe๐คฃ
Hivi ni kwanini? Au huwa mnahisi ni elements za kishoga?
Kumbe nimetaja id ya mtu humu๐ซข
Mbamizwa katumeni ngoja nimwite mbamizwa kobaa cc Poor BrainMi huwa nawauliza sana majina.
Mwisho wa siku tunajikuta kitandani tukisali rozali.
Cc: cocastic secretarybird
Kwahiyo unaitwaga nani?Mimi hata jina langu tu mimi mwenyewe silijui ndio niulize jina la rafiki tena?
Hata sijui.Kwahiyo unaitwaga nani?
Hahahahaaa ๐๐๐๐๐คฃMbamizwa katumeni ngoja nimwite mbamizwa kobaa cc Poor Brain
kabsa yan, hata mim spendi hayo majina sijui:- mbwa, matrakooWe mat,, na we mbwa wanaitana labda wavulana , uniite hivyo nakulamba kofi zito. bwashee
Unajikuta nan sijui dogo ๐Uku amna madogo wanapatikana wanaume tu ๐
SaafiNajikuta kidume ๐ช