Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Labda wazungu. Kwamba nikutane na mshkaji bar tunacheki game halafu nianze kusema mimi jaitwa Natafuta ajira, wewe unaitwa nani?. Hiyo kitu haipo tutapiga tu mitungi. Tukifika hatua ya kubadilishana namba uko ndio tunaweza kuuliza nisave jina ganiMhh.. Wapi huko? Sidhani kama uko sahihi. BTW unapokutana na mtu usiyemjua mara ya kwanza unaanza kwa kujitambulisha wewe. Naweza kusema ''mimi naitwa Macho'' Na wewe unanijibu ''Mimi naitwa Mtaachana''. Yes, kuna wakati unaweza kumpiga swali mtu ''wewe unaitwa nani?'' lakini kistaarabu unajitambulisha wewe kwanza.
Sikuwa namaanisha hivyo. Hizi casual meeting za kukutana na mtu na kupiga story sidhani kama kuna haja ya kuambiana majina.Labda wazungu. Kwamba nikutane na mshkaji bar tunacheki game halafu nianze kusema mimi jaitwa Natafuta ajira, wewe unaitwa nani?. Hiyo kitu haipo tutapiga tu mitungi. Tukifika hatua ya kubadilishana namba uko ndio tunaweza kuuliza nisave jina gani
Kulala ukutani kivipWanaume ni automatic tu hatupendi kujipendekeza sana, majina ya washikaj tunayajuaga mbele ya safari.
Ni kama ke na me walale kitanda kimoja, huwez kuta mwanaume analala ukutani.
Uyu Hata najua basi ni mchokozi mkuuMshaanza π
Hatunaga noma kama jina lina akisi ukweli.Ukiwa mrefu Tolu, ukiwa bonge bonge BIGI, ukiwa mwembamba sana we ni KAGAME na kadhalika na kadhalika,..ni hayo tu!
Akiulizwa Zungu huyu huyu Au ?Inasaidia hata ukikamatwa peke yako ukiulizwa ulikuwa na nani unajibu Nilikuwa na Zungu
Hauchomi kijiwe
Kwani we ni mwanaume? π€π€!Mi huwa nawauliza sana majina.
Mwisho wa siku tunajikuta kitandani tukisali rozali.
Cc: cocastic secretarybird
Nimefanyaje πUyu Hata najua basi ni mchokozi mkuu
Jibu ni me sijajua ila anaitwa zungu au paraAkiulizwa Zungu huyu huyu Au ?
Nasubiri jibu lake kwa hamu na gamu.Swali zuri sana ili coment yake ilikua inanitatiza kidogo
Jina la Master Mind halitajwi kizembe ... Utasema tuu.Jibu ni me sijajua ila anaitwa zungu au para
π
Nature.