Wanaume tuna majina yetu kutokana na mazingira yetu tunapo kutana mf mwangu,jamaa,msela,bro,kiongoz,mjomba,boss,tajir,mkuu,chalii kama ni mkabila wa pekee utaitwa kwa kabila lenu au mazingira yenu mf chuga,ngosha,bwashee,mangi,mwaisa,pia rangi,umbo,kimo kinaweza fanya ukaitwa tall,black,white,bigg (WANAUME HATUNA MUDA WAKUJITAMBULISHA MAZINGIRA TU YATAKUPA JINA)