Hivi kwanini nyie wake zetu hamsemi Asante

Hivi kwanini nyie wake zetu hamsemi Asante

Daah.

Yaani hata ufanye nini huwa wanakuwa kama ni haki yao vile.

Sura kaavu.
Kwa mwanaume kijana mwenye vision na focus ya kutajirika maishani, hutakiwi kbs kuwa na girlfriend.

Kama huwezi kuzua lust (nyege), basi kuwa na girl mmoja tu, tena kusex ni mara 1-2 kwa mwaka.

Jifunze sperm retention, epuka unnecessary liabilities. Build your empire!
 
acha kuwaropokea vijana we mwenyewe hua haufanyi hivo,,
jifunze kukaa kimya sio lazima uchangie
 
Pole sana kwa madhila hayo
Ila usiseme wake zetu, maana kwa mfano mimi uwepo wangu tu huwa napewa shukran
Mke anatoa shukran na mimi namshukuru kwa yote anayofanya kama mama wa watoto

Kuwalea na kuwaangalia kutwa sio jambo dogo kiasi mimi niko kwenye mihangaiko
Kwa hiyo ni wajibu wangu pia kumpa kila kitu au kuwapa kila kitu wanachostahili

Ndoa ni Pana sana na inataka uvumilivu sana
 
Hakikisha anafikia hatua hii. Mambo mengine muachie yeye mwenyewe
Screenshot_20221217-132722_1671278387098.jpg
 
Back
Top Bottom