Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,080
- 2,871
Aisee basi nouma mtu kanunua kitanda kapost🤣Hiyo ni kawaida ya binadamu.Hajavimba ila anataka muone alichokipata kwa ushahidi zaidi.Upatapo kipya maana yake umeongeza kipya.Lazima uoneshe upya & mabadiliko.
Naona wewe ndo una tatizo.Habari za asubuhi wana Jf poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku ilimradi njia ya kwenda msalani isiote nyasi.
Husika kwenye mada iliopo hapo juu sijui ni kwanini sisi binadamu hasa tuliotokea maisha magumu yaani mtu kanunua gari tu,kajenga nyumba au kapata kazi basi ni vurugu huko mtandaoni yaani ni kero zile show off.
Mfano mzuri kuna rafiki yangu kasota sana mtaa kapata bahati ya kwenda polisi sasa kamaliza juzi aisee anavovimba huko what's up status ni balaa mpaka nasema hivi ni nature ya binadamu wote au?
Nawasilisha wakuu.
Atazoea.Kulala chini maisha yote si mchezo.Fumba macho tumuombee dua njema ili asivimbe sana hadi kupasuka.🙏😎Aisee basi nouma mtu kanunua kitanda kapost🤣
Amen.Atazoea.Kulala chini maisha yote si mchezo.Fumba macho tumuombee dua njema ili asivimbe sana hadi kupasuka.🙏😎
Sasa watu wa dini wanasema kila neema huja na husda na kuwa msiri kwamba usiwaambie watu mafaniko yako au mipango yako hii ipoje?Wala sio majivuno amepga hatua mbele kwenye utafutaji wake so Utateseka na maisha yawatu mpaka ujue hayakuhusu
Maskini hana kiapo.Umaskini ni kitu kibaya sana mkuu
Hayo sasa ni ya Mungu ila acha jamaa avimbe! Ili mradi hakeri mtu..Zikiisha baadae mwisho wao huwa mbaya sana
Duu basi nimeelewaMwache avimbe aiseeh maana kipindi anapitia msoto hukua nae na pengine alitengwa na ndugu na jamaa na kumwona si lolote si chochote. Lakini Mungu si athumani kapata ndoto zake Mwache tena mtu kama huyo mpongeze kabisa.
Ni nature ya kiafrika kufurahia mtu akipitia changamoto.
NB; mimi mwenyew hapa sasa hivi ni LAY LOW siku nikija kufumuka mara leo nipo Sychelles, China, Bangkok, Scandnavian countries Aiseeh mbona wale waliosema jamaa hatoboi watakoma..🤣🤣🤣
Amini nakuambia kwa jamii zetu za kiafrika zinafurahia sana ukiwa matatizon kuliko kuyafurahia mafanikio yako. Hata hapo wewe unapoona umefika kuna kundi kubwa la watu wanapenda ushuke.
Mwache jamaa afurahi kipindi yupo kwenye msoto alikimbiwa na watu.
Nouma sanaHayo sasa ni ya Mungu ila acha jamaa avimbe! Ili mradi hakeri mtu..
Ni ulimbukeni tu kwa baadhi ya watu.Habari za asubuhi wana Jf poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku ilimradi njia ya kwenda msalani isiote nyasi.
Husika kwenye mada iliopo hapo juu sijui ni kwanini sisi binadamu hasa tuliotokea maisha magumu yaani mtu kanunua gari tu,kajenga nyumba au kapata kazi basi ni vurugu huko mtandaoni yaani ni kero zile show off.
Mfano mzuri kuna rafiki yangu kasota sana mtaa kapata bahati ya kwenda polisi sasa kamaliza juzi aisee anavovimba huko what's up status ni balaa mpaka nasema hivi ni nature ya binadamu wote au?
Nawasilisha wakuu.