Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kama anavimba itakua aliumia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaanza statu za "Hili nalo litapita" "Ee Mungu wajua sababu kwanini niyapitie haya"Zikiisha baadae mwisho wao huwa mbaya sana
Naunga mkono hojaWanaanza statu za "Hili nalo litapita" "Ee Mungu wajua sababu kwanini niyapitie haya"
Hapana sio hivo! Kwani kipindi anapitia msoto alikimbiwa na ndugu na jamaa! Lakini Mungu si athumani anatuombea mema sana.Wanasema tabia ya mtu utaijua baada ya kupata pesa
Walahi unarogwaNilikuwa na ndoto ya kumiliki kitanda leo imetimia, nina furaha sana, nimeweka status kuonyesha kitanda changu.
Na ndoto inahama sijui nitakapofika kwenye ndoto ya kumiliki latest TOYOTA LC na ikatimia utakuwa kwenye hali gani maana ntaweka bango mtaani nikiwa naendesha.
Hii nimeichukua kwa mikono miwili.Kwanza kwa nature ya kazi yake hiyo aliyopata na lifestyle yake ni vitu viwili tofauti.
Kuna Kazi ukiwa unafanya hutakiw kupost post mambo yako binafsi.. sasa kuweka kitanda ndio mafanikio? Kuna wachangiaji humu akili zao si nzr.
Limit unachotakiw watu waone.. kuvimba kwenye status inayodumu 24hrs si mafanikio.. unaweza kuweka na watu wasiview vile vile.
Vimba moyoni.. Vimba kichwani Jiamini tembea kwa furaha kwa kupata achievement fulani.
Kwamba wakifanikiwa hapokei simu za watu😀Kuvimba ni ushamba wa mtu binafsi pia background ya alikotoka, nimekutana na watu wengi waliofanikiwa, wengine watoto wa vibopa wazito lakini ukicheki wanavyo socialize unaweza usiamini. Ila pia kuna waliofanikiwa kutoboa wanavimba kama vifutu mtu hadi anajifanya amekusahau
Mkuu,Habari za asubuhi wana JF poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku ilimradi njia ya kwenda msalani isiote nyasi.
Husika kwenye mada iliopo hapo juu sijui ni kwanini sisi binadamu hasa tuliotokea maisha magumu yaani mtu kanunua gari tu, kajenga nyumba au kapata kazi basi ni vurugu huko mtandaoni yaani ni kero zile show off.
Mfano mzuri kuna rafiki yangu kasota sana mtaa kapata bahati ya kwenda polisi sasa kamaliza juzi aisee anavyovimba huko what's up status ni balaa mpaka nasema hivi ni nature ya binadamu wote au?
Nawasilisha wakuu.
Hahahaha.Walahi unarogwa
Huo ni upuuzi tu wa rafiki akoHabari za asubuhi wana JF poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku ilimradi njia ya kwenda msalani isiote nyasi.
Husika kwenye mada iliopo hapo juu sijui ni kwanini sisi binadamu hasa tuliotokea maisha magumu yaani mtu kanunua gari tu, kajenga nyumba au kapata kazi basi ni vurugu huko mtandaoni yaani ni kero zile show off.
Mfano mzuri kuna rafiki yangu kasota sana mtaa kapata bahati ya kwenda polisi sasa kamaliza juzi aisee anavyovimba huko what's up status ni balaa mpaka nasema hivi ni nature ya binadamu wote au?
Nawasilisha wakuu.
Kwamba wakifanikiwa hapokei simu za watu😀
Ukiwa unasota matusi kejeli za kila rangi leo umezipata kijana vimba tu vaa pamba kali ishi Kama mfalme SuleimanUtaftaji ni mgumu , mwache avimbe