Hivi kwanini sisi binadamu tukipata mafanikio kidogo tunavimba sana?

Hivi kwanini sisi binadamu tukipata mafanikio kidogo tunavimba sana?

Kuvimba ni ushamba wa mtu binafsi pia background ya alikotoka, nimekutana na watu wengi waliofanikiwa, wengine watoto wa vibopa wazito lakini ukicheki wanavyo socialize unaweza usiamini. Ila pia kuna waliofanikiwa kutoboa wanavimba kama vifutu mtu hadi anajifanya amekusahau

10 Lo lote mkono wako utakalolipata kulifanya, ulifanye kwa nguvu zako; kwa kuwa hakuna kazi, wala shauri, wala maarifa, wala hekima, huko kuzimu uendako wewe
 
Pesa inaleta jeuri,kujiamini
Dharau kwa baadhi ya watu

Ova
Kabla hujamhukumu kuwa kapata pesa kawa na dharau jaribu kuangalia background yake aliyopitia huenda alipitia msoto wa maumivu makali sana
Matusi kejeli kinyanyapaliwa
So na ujue kuna watu wako vile ni kwa sababu sisi ndiyo chanzo cha hayo
 
Ukiwa hauna Emotional intelligence you will be trend man the all days long

Doesn't matter what you have been through , you don't need to feel entitled ( To think that you need to be appreciated with everybody

That is EGO play
 
Kabla hujamhukumu kuwa kapata pesa kawa na dharau jaribu kuangalia background yake aliyopitia huenda alipitia msoto wa maumivu makali sana
Matusi kejeli kinyanyapaliwa
So na ujue kuna watu wako vile ni kwa sababu sisi ndiyo chanzo cha hayo
Ndo maana wajeda wanakuwaga wakali sana
 
Back
Top Bottom