Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Huo ugumu unaletwa na mfumo wa muungano uliopo wa serikali mbili...tungelikuwa na serikali moja tabu hio isingekuwepoWatanzania na dunia tumekuwa tukipewa taarifa mbili tofauti za visa vya Corona kutoka katika taifa la Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) huku wakati mwingine kukiwa na mchanganyo wenye kutupa wasiwasi au marudio ya taarifa zile zile pasipo sababu ya msingi.
Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy Mwalimu amekuwa akitoa taarifa za Corona kwa Tanzania nzima (ikiwemo Zanzibar) na wakati huo huo Waziri wa Afya wa Zanzibar, Hamad Rashid akitoa taarifa za Corona kwa Zanzibar.
Ni kweli tunajua suala la Afya sio suala la muungano, hivyo Zanzibar wako sahihi na wanayo haki ya wao kulisemia bila mamlaka za serikali ya muungano kuwaingilia, lakini busara ingeweza kutumika kwa suala hili kubakia kusemewa na waziri wa Tanzania tu ili kuepusha mchanganyo wa kitaarifa kwa dunia inayofuatilia suala hili kwa karibu mnoo.
Upande wa pili ni kuwa, kwa kuwa la suala la Afya sio la muungano, ingekuwa ni busara kwa waziri wa muungano wa Tanzania kuwasemea watanzania bara tu na kuwaacha wazanzibar wao wenyewe kulisemea maana halimhusu.
Busara ianze kutumika sasa, huko tunakoelekea ipo hatari ya mmoja kumharibia mwingine taarifa zake pasipo kukusudia.
Nchi ni moja ila serikali ni mbili...Ummy Mwalimu ni waziri wa nchi nzima (zanzibar inclunsive), ndiye anayetambulika na WHO, na ndiye anayetakiwa kutoa takwimu za nchi kwa WHO na Other international bodiesHizi ni nchi mbili tofauti, kila moja ikiwa na wizara yake ya afya, Tanganyika waziri ni Ummy Mwalim na Zanzibar waziri ni Hamad Rashid.
Wanaosema Zanzibar sio nchi wasubiri Kagera nayo ianze kutoa taarifa zake za Corona.
Sasa inakuwaje waziri wa Afya wa Tanzania (Ummy Mwalimu) anatoa tena taarifa za Corona za Zanzibar?
Katumwa na nani?
Amepata wapi hayo mamlaka?
Wenye kiherere wako huko Zanzibar, wanaotoa takwimu upesi upesi kwa lengo la kusikika, badala ya kuwa na busara kwa kuacha tu mamlaka moja ya muungano ndo iitangazie duniaAna kiherehere mkuu
Reference halali ni katiba ya Jamuhuri ya Muungano tuuAcha kupotosha umma kisa eti una Id fake na chuki za kisiasa. Soma ibara ya 1 ya katiba ya Zanzibar na ibara ya 2(1) ya katiba ya JMT. Wala hamna mkanganyiko wowote ila unataka kuleta siasa za chuki kwa jambo halina hata dosari.
Mmmy Mwalimu anatoa taarifa ya nchi nzimaSasa kwanini umi anaunganisha taarifa ya zanzibar na tanganyika?
Serikali ya Muungano, Bunge la Muungano, na CCM wakinuia jambo hili linawezekana hata kesho.....Awamu ya tano walitazame hiliHata mimi huwa najiuliza kwanini tusiwe na serikali moja tu, kuliko namna ilivyo sasa?? Naamini ipo siku tutafikia hapo.
Kumekuchaa hebu wazanzibari mukuje kuna MTU anaiita Zanzibar siyo dola huruHili suala lipo wazi Zanzibar sio dola hulu. Kwa hiyo haiwezi kujiunga na jumuia kama WHO. Hizi taarifa zinapotolewa hata WHO wanatakiwa wapewe. Kwa hiyo lazima zitoke kama za nchi moja kama Tanzania.
Kama ni dola huru nendeni mkajaribu kufanya mapinduzi .Hapo ndio mtaujua ukweli.Kumekuchaa hebu wazanzibari mukuje kuna MTU anaiita Zanzibar siyo dola huru
Sent using Jamii Forums mobile app
Thubutu yake! Jidanganye tu...Nchi ni moja ila serikali ni mbili...Ummy Mwalimu ni waziri wa nchi nzima (zanzibar inclunsive), ndiye anayetambulika na WHO, na ndiye anayetakiwa kutoa takwimu za nchi kwa WHO na Other international bodies
Angesema dola huru angejibiwa, ila anasema dola hulu, na apuuzwe tuKumekuchaa hebu wazanzibari mukuje kuna MTU anaiita Zanzibar siyo dola huru
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe mbishi sana.Mleta maada, ni jumuiaya ipi ya kimataifa iliyopata mkanganyiko? Maana mimi hufuatilia live updates kwenye international sites kama worldometer na hakuna siku wamekanganyika.
Mihemuko yenu isiwatie upofu hata kwenye masuala kama haya ambayo hayahitaji ujuaji. Ikiwa mnashangaa waziri Ummy kuisemea mpaka Zanzibar ilhali yenyewe inaye Hamad Rashid anayeisemea tayari, basi yawapasa kuwatafuta walimu wenu wa uraia mrudishiwe ada mlizolipa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Majukumu yake yamekasimishwa kwa anayeitwa waziri wa afya wa zanzibarThubutu yake! Jidanganye tu...
Umewahi kumuona Ummy mwalim akienda kule chake chake ziara ya kikazi au kushughulikia masuala ya afya???