Kwani wazanzibari wanatambulika ,WHO?Upande wa pili ni kuwa, kwa kuwa la suala la Afya sio la muungano, ingekuwa ni busara kwa waziri wa muungano wa Tanzania kuwasemea watanzania bara tu na kuwaacha wazanzibar wao wenyewe kulisemea maana halimhusu.
Rais Wa Tanganyika ni nani.. !!?? Maana ni Muungano Wa Zanzibar Rais wao yupo na Tanganyika Rais Wa Tanganyika ni nani !!?? Magufuli ni Wa MuunganoAcha kupotosha umma kisa eti una Id fake na chuki za kisiasa. Soma ibara ya 1 ya katiba ya Zanzibar na ibara ya 2(1) ya katiba ya JMT. Wala hamna mkanganyiko wowote ila unataka kuleta siasa za chuki kwa jambo halina hata dosari.
Tanganyika ipi?Rais Wa Tanganyika ni nani.. !!?? Maana ni Muungano Wa Zanzibar Rais wao yupo na Tanganyika Rais Wa Tanganyika ni nani !!?? Magufuli ni Wa Muungano
Umemaliza mjadala.Shukrani kutufahamisha.Wasomi kama nyinyi ndio tunaowahitaji,kutupa maarifa.Acha kupotosha umma kisa eti una Id fake na chuki za kisiasa. Soma ibara ya 1 ya katiba ya Zanzibar na ibara ya 2(1) ya katiba ya JMT. Wala hamna mkanganyiko wowote ila unataka kuleta siasa za chuki kwa jambo halina hata dosari.
Takwimu ni suala la muungano?Ummy, na wakati wizara siyo ya muungano [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ummy anasimama Kama waziri wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na Zanzibar,hivyo taarifa zake zinacombine pande zoteSasa inakuwaje waziri wa Afya wa Tanzania (Ummy Mwalimu) anatoa tena taarifa za Corona za Zanzibar?
Katumwa na nani?
Amepata wapi hayo mamlaka?
Zanzibar +Tanganyika =Tanzania. Ndio maana unaona zinaunganishwa.Sasa kwanini umi anaunganisha taarifa ya zanzibar na tanganyika?
Akili huyo huwa hana anawakamataga mafala tuHili ni janga baya sana acheni utoto na mzaha. Wenzenu huko Us na Uk wameweka siasa kando. Nyie mnaleta upuuzi.
Asa mbona zanzibar wanatangaza za kwao?? Kama ni hivyo awepo wa kutangaza na za tanganyika then ndio waunganishe zitangazwe za tanzania...Zanzibar +Tanganyika =Tanzania. Ndio maana unaona zinaunganishwa.
Watanzania na dunia tumekuwa tukipewa taarifa mbili tofauti za visa vya Corona kutoka katika taifa la Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) huku wakati mwingine kukiwa na mchanganyo wenye kutupa wasiwasi au marudio ya taarifa zile zile pasipo sababu ya msingi.
Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy Mwalimu amekuwa akitoa taarifa za Corona kwa Tanzania nzima (ikiwemo Zanzibar) na wakati huo huo Waziri wa Afya wa Zanzibar, Hamad Rashid akitoa taarifa za Corona kwa Zanzibar.
Ni kweli tunajua suala la Afya sio suala la muungano, hivyo Zanzibar wako sahihi na wanayo haki ya wao kulisemia bila mamlaka za serikali ya muungano kuwaingilia, lakini busara ingeweza kutumika kwa suala hili kubakia kusemewa na waziri wa Tanzania tu ili kuepusha mchanganyo wa kitaarifa kwa dunia inayofuatilia suala hili kwa karibu mnoo.
Upande wa pili ni kuwa, kwa kuwa la suala la Afya sio la muungano, ingekuwa ni busara kwa waziri wa muungano wa Tanzania kuwasemea watanzania bara tu na kuwaacha wazanzibar wao wenyewe kulisemea maana halimhusu.
Busara ianze kutumika sasa, huko tunakoelekea ipo hatari ya mmoja kumharibia mwingine taarifa zake pasipo kukusudia.
We kinachokuchanganya nini? Sabanu wanaweka wazi kabisa Zanzibar kiasi hiki, na Mainland kiasi hiki. We unatakiwa upate takwimu tu hayo mengine ya nini?Asa mbona zanzibar wanatangaza za kwao?? Kama ni hivyo awepo wa kutangaza na za tanganyika then ndio waunganishe zitangazwe za tanzania...
Na aamini umepata
Then Tanzania=Tanganyika+ZanzbarNapotoshaje umma?? Hamad Rashid sio waziri wa afya Zanzibar?? Ummy mwalim sio waziri wa Afya Tanzania??
Jana wamesema case zimefikia 32 sasa hapo zanzibar ni wangapi na tanganyika ni wangapiWe kinachokuchanganya nini? Sabanu wanaweka wazi kabisa Zanzibar kiasi hiki, na Mainland kiasi hiki. We unatakiwa upate takwimu tu hayo mengine ya nini?
Una akili? Au bichwa maji?Jana wamesema case zimefikia 32 sasa hapo zanzibar ni wangapi na tanganyika ni wangapi
Hili suala lipo wazi Zanzibar sio dola hulu. Kwa hiyo haiwezi kujiunga na jumuia kama WHO. Hizi taarifa zinapotolewa hata WHO wanatakiwa wapewe. Kwa hiyo lazima zitoke kama za nchi moja kama Tanzania.
Umeishiwa pumziiiiiUna akili? Au bichwa maji?