thundercat8
Senior Member
- Nov 25, 2015
- 172
- 384
Hadi Wewe umekula ban bado ephen_ tuWewe ni programmer?
Na je unamaanisha nini unapozungumzia projects??
Tuanzia hapo kwanza!!!
Cheap km viberiti vya MOVijana wapo ila wateja wanataka vitu cheap
Nilishangaa kwel, 500 viberiti bunda? Nikishangaa mnoo 😂Cheap km viberiti vya MO
Uko sahihi chiefThe real question ya kujiuliza ni can you afford to pay for developing a robust and reliable product wakutengenezee. Tatizo wabongo tunachukulia poa tu kutengeneza apptukidhani ni simpo simpo tu, Mind you kutengeneza efficient, reliable na secure app na kuimantain ni gharama. Kwako kama client ni biashara kama biahsara nyingine lazima uwe radhi kuinvest talking from personal experience ya mteja mm sio coder. Vijana wapo ila wateja wanataka vitu cheap
Uzi wetu umefutwa😂Nilishangaa kwel, 500 viberiti bunda? Nikishangaa mnoo 😂
🤣🤣Cheap km viberiti vya MO
ohhooohhh!!!.Uzi wetu umefutwa😂
Ni wao wenyewe! Nishone mdomo nisipigwe ban baadae nikakosa uhondoo wa Mechi ya Yangaohhooohhh!!!.
Au kuna shuda kwenye server za JF i?????isije ikawa tuna wasingizia kods kumbe ndio mambo ya programmers wa kibongo kaandika algorithm asiyoielewa ikawa inafuta tu post yenye neno mod😂😂😂😂
Dooohhh!!!!! Yanga anacheza na nani?Ni wao wenyewe! Nishone mdomo nisipigwe ban baadae nikakosa uhondoo wa Mechi ya Yanga
Asante kwa elimuProgrammer ni mtu anaeandika seti ya maelezo yanayoiambia computer nini ifanye kwa kutumia programming language (au mtu anayeandika program),
developer ni mtu ambaye anauelewa na fani fulani katika teknolojia aidha kwa maendeleo ya wavuti, systems, software designing etc. na anaweza kutoa mchango fulani katika kuboresha program au system fulani.
Software engineer ni mtu anayedesign software na kuifanya, mfano akadesign software kama mobile app, au web application, na anauwezo wa kuifanyia repair and advancement. Hawa wao wanadeal na softwares tu.
Kwa ujumla watu hawa watatu wote wanatakiwa kuwa na ujuzi wa programming au kuandika program. (Programming ni msingi wa software engineering. Hivyo basi, programmer ni software engineer lakini pia ni developer
Nimeku admire kwa maelezo haya haijalishi umeyatoa wapi.Programmer ni mtu anaeandika seti ya maelezo yanayoiambia computer nini ifanye kwa kutumia programming language (au mtu anayeandika program),
developer ni mtu ambaye anauelewa na fani fulani katika teknolojia aidha kwa maendeleo ya wavuti, systems, software designing etc. na anaweza kutoa mchango fulani katika kuboresha program au system fulani.
Software engineer ni mtu anayedesign software na kuifanya, mfano akadesign software kama mobile app, au web application, na anauwezo wa kuifanyia repair and advancement. Hawa wao wanadeal na softwares tu.
Kwa ujumla watu hawa watatu wote wanatakiwa kuwa na ujuzi wa programming au kuandika program. (Programming ni msingi wa software engineering. Hivyo basi, programmer ni software engineer lakini pia ni developer
Ukirudi naomba unicheck kuna mambo nikwambieNimeku admire kwa maelezo haya haijalishi umeyatoa wapi.
Kwa ninavyoelewa Program ni set of instructions zinzoielekeza kompyuta how to perform a specific taskProgram ni nini?
Jama jamaa jamaa!!! Haya sawa..Ukirudi naomba unicheck kuna mambo nikwambie
😂Uzuri wewe una huruma...Endeleeni kunitabiria nitakuja kua mod wa jf!
Melo alione hili😂
Don't try me!😂😂Uzuri wewe una huruma...
Huyo alireply au aliquote kabla hajala BanKuna kitu huwa sikielewe hapa naomba nifahamishwe,,unakuta mtu kala ban na ujumbe unasema,user can not reply lkn unaona anareply,hii imekaaje?