Hivi kwanini Tanzania hakuna programmers

The real question ya kujiuliza ni can you afford to pay for developing a robust and reliable product wakutengenezee. Tatizo wabongo tunachukulia poa tu kutengeneza apptukidhani ni simpo simpo tu, Mind you kutengeneza efficient, reliable na secure app na kuimantain ni gharama. Kwako kama client ni biashara kama biahsara nyingine lazima uwe radhi kuinvest talking from personal experience ya mteja mm sio coder. Vijana wapo ila wateja wanataka vitu cheap
 
Uko sahihi chief
 
ohhooohhh!!!.
Au kuna shuda kwenye server za JF i?????isije ikawa tuna wasingizia kods kumbe ndio mambo ya programmers wa kibongo kaandika algorithm asiyoielewa ikawa inafuta tu post yenye neno mod😂😂😂😂
Ni wao wenyewe! Nishone mdomo nisipigwe ban baadae nikakosa uhondoo wa Mechi ya Yanga
 
Programmer ni mtu anaeandika seti ya maelezo yanayoiambia computer nini ifanye kwa kutumia programming language (au mtu anayeandika program),

developer ni mtu ambaye anauelewa na fani fulani katika teknolojia aidha kwa maendeleo ya wavuti, systems, software designing etc. na anaweza kutoa mchango fulani katika kuboresha program au system fulani.

Software engineer ni mtu anayedesign software na kuifanya, mfano akadesign software kama mobile app, au web application, na anauwezo wa kuifanyia repair and advancement. Hawa wao wanadeal na softwares tu.

Kwa ujumla watu hawa watatu wote wanatakiwa kuwa na ujuzi wa programming au kuandika program. (Programming ni msingi wa software engineering. Hivyo basi, programmer ni software engineer lakini pia ni developer
Asante kwa elimu
 
Nimeku admire kwa maelezo haya haijalishi umeyatoa wapi.
 
Back
Top Bottom