Ya kaisari muachie kaisari, ya mungu tugawane sisi binadamu. 🤝Hapana?
Shout out kwa wanakeko ya magurumbasi wambie Malebo nipo naendelea vyemaTangu nakua kule Keko Magulumbasi, kunapokuwa na ujenzi wa Kanisa la KKKT huwa miaka na miaka ujenzi haukamiliki.
Mifano ipo Mingi tu. Tangu mwaka 1998 Kanisa la pale Korogwe Kimara KKKT ujenzi haujaisha.
Segerea mwisho hadi kesho bado ujenzi haujaisha.
Kibamba shule njia ya Kibwegere ujenzi haujaisha.
Kumara Suka karibu na Temboni ujenzi haujaisha.
Hii ni baadhi ya mifano michache tu, hivi shida nini?
KKKT za malebo hizoTangu nakua kule Keko Magulumbasi, kunapokuwa na ujenzi wa Kanisa la KKKT huwa miaka na miaka ujenzi haukamiliki.
Mifano ipo Mingi tu. Tangu mwaka 1998 Kanisa la pale Korogwe Kimara KKKT ujenzi haujaisha.
Segerea mwisho hadi kesho bado ujenzi haujaisha.
Kibamba shule njia ya Kibwegere ujenzi haujaisha.
Kumara Suka karibu na Temboni ujenzi haujaisha.
Hii ni baadhi ya mifano michache tu, hivi shida nini?
Ujenzi ukiisha wachungaji na wazee wa makanisa watakula wapi?Tangu nakua kule Keko Magulumbasi, kunapokuwa na ujenzi wa Kanisa la KKKT huwa miaka na miaka ujenzi haukamiliki.
Mifano ipo Mingi tu. Tangu mwaka 1998 Kanisa la pale Korogwe Kimara KKKT ujenzi haujaisha.
Segerea mwisho hadi kesho bado ujenzi haujaisha.
Kibamba shule njia ya Kibwegere ujenzi haujaisha.
Kumara Suka karibu na Temboni ujenzi haujaisha.
Hii ni baadhi ya mifano michache tu, hivi shida nini?
Mkuu hapa umekita Kisu kwenye mfupa. Kuna Kanisa lina Miaka 20 bado halina hata plasta ukutani.Tangu nakua kule Keko Magulumbasi, kunapokuwa na ujenzi wa Kanisa la KKKT huwa miaka na miaka ujenzi haukamiliki.
Mifano ipo Mingi tu. Tangu mwaka 1998 Kanisa la pale Korogwe Kimara KKKT ujenzi haujaisha.
Segerea mwisho hadi kesho bado ujenzi haujaisha.
Kibamba shule njia ya Kibwegere ujenzi haujaisha.
Kumara Suka karibu na Temboni ujenzi haujaisha.
Hii ni baadhi ya mifano michache tu, hivi shida nini?
umewasahau na wale wachoma makanisa na wapareKKKT lina waumini wengi sana. Ila wachaga ndio wengi zaidi kwenye nafasi za juu juu kwenye kila usharika.
Sehemu yoyote mchaga akiwepo ujenzi huwa hauishii.. hata nyumba za kuishi za wachaga huwa zinarekebishwa kila mara.
Mchanga na ujenzi ni ndugu
Unataka ujenzi uishe halafu bahasha za ujenzi zigawanywe kwa waumini kwa sababu ipi. Ujenzi ni strategic plan mojawapo ya makanisa kuingiza mapatoTangu nakua kule Keko Magulumbasi, kunapokuwa na ujenzi wa Kanisa la KKKT huwa miaka na miaka ujenzi haukamiliki.