BigBro
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 3,585
- 11,601
Tangu nakua kule Keko Magulumbasi, kunapokuwa na ujenzi wa Kanisa la KKKT huwa miaka na miaka ujenzi haukamiliki.
Mifano ipo Mingi tu. Tangu mwaka 1998 Kanisa la pale Korogwe Kimara KKKT ujenzi haujaisha.
Segerea mwisho hadi kesho bado ujenzi haujaisha.
Kibamba shule njia ya Kibwegere ujenzi haujaisha.
Kumara Suka karibu na Temboni ujenzi haujaisha.
Hii ni baadhi ya mifano michache tu, hivi shida nini?