Hivi kwanini ujenzi wa makanisa mengi ya KKKT huwa hauishi?

Unataka ujenzi uishe halafu bahasha za ujenzi zigawanywe kwa waumini kwa sababu ipi. Ujenzi ni strategic plan mojawapo ya makanisa kuingiza mapato
hivi hawa watu nani alianza kumfundisha mwenzake ujanja wa kukamua maziwa

Serikali=inakamua wananchi

kanisa=inawakamua waumini

Na miradi yao mingi huwa haishi kwa wakati na ikisha ipo chini ya kiwango marekebisho ni kama kawaida!
 
Du mkuu salute,mada hii imekata kwenye mfupa,KKKT Kinondoni karibu na mahakama pale,ujenzi ule toka mimi nipo secondary school haujaisha, nakumbuka hata PM Lowassa amewahi kufanya harambee za uchangiaji pale, yaani ni wezi..wezi..wezi
 
Tangu nakua kule Keko Magulumbasi, kunapokuwa na ujenzi wa Kanisa la KKKT huwa miaka na miaka ujenzi haukamiliki.

Mifano ipo Mingi tu. Tangu mwaka 1998 Kanisa la pale Korogwe Kimara KKKT ujenzi haujaisha.

Segerea mwisho hadi kesho bado ujenzi haujaisha.

Kibamba shule njia ya Kibwegere ujenzi haujaisha.

Kumara Suka karibu na Temboni ujenzi haujaisha.

Hii ni baadhi ya mifano michache tu, hivi shida nini?
Viongozi wapigaji n walewale anatoka anardii tena unahisi nn
 
Utafiti mzuri sana huu
Evidence based yaani
OkeY ILI WATU WAENDELEE KUISHI
YTangu nakua kule Keko Magulumbasi, kunapokuwa na ujenzi wa Kanisa la KKKT huwa miaka na miaka ujenzi haukamiliki.

Mifano ipo Mingi tu. Tangu mwaka 1998 Kanisa la pale Korogwe Kimara KKKT ujenzi haujaisha.

Segerea mwisho hadi kesho bado ujenzi haujaisha.

Kibamba shule njia ya Kibwegere ujenzi haujaisha.

Kumara Suka karibu na Temboni ujenzi haujaisha.

Hii ni baadhi ya mifano michache tu, hivi shida nini?
 
Tangu nakua kule Keko Magulumbasi, kunapokuwa na ujenzi wa Kanisa la KKKT huwa miaka na miaka ujenzi haukamiliki.

Mifano ipo Mingi tu. Tangu mwaka 1998 Kanisa la pale Korogwe Kimara KKKT ujenzi haujaisha.

Segerea mwisho hadi kesho bado ujenzi haujaisha.

Kibamba shule njia ya Kibwegere ujenzi haujaisha.

Kumara Suka karibu na Temboni ujenzi haujaisha.

Hii ni baadhi ya mifano michache tu, hivi shida nini?
Wacha mapadre wa pale KKKT waje kukujibu
 
Hata Mtoni Mtongani kanisa la Lulu bado ni mapagale tu na watu wanasali hivyo hivyo.

Ila sishangai kwa kuwa Wachungaji wa KKKT wamekaa kiulaji na upigaji tu
 
Du mkuu salute,mada hii imekata kwenye mfupa,KKKT Kinondoni karibu na mahakama pale,ujenzi ule toka mimi nipo secondary school haujaisha, nakumbuka hata PM Lowassa amewahi kufanya harambee za uchangiaji pale, yaani ni wezi..wezi..wezi
Hahah mi Toka nipo mdogo hilo kabisa linajengwa tu.
 
Tangu nakua kule Keko Magulumbasi, kunapokuwa na ujenzi wa Kanisa la KKKT huwa miaka na miaka ujenzi haukamiliki.

Mifano ipo Mingi tu. Tangu mwaka 1998 Kanisa la pale Korogwe Kimara KKKT ujenzi haujaisha.

Segerea mwisho hadi kesho bado ujenzi haujaisha.

Kibamba shule njia ya Kibwegere ujenzi haujaisha.

Kumara Suka karibu na Temboni ujenzi haujaisha.

Hii ni baadhi ya mifano michache tu, hivi shida nini?
kuna lile kanisa lao pale magomeni mapipa linalotazamana na msikiti, ktk kumbukumbu zangu za kuishi dar huu unawezakuwa ni mwaka wa 18 au 20 tangu lianze kujengwa, mpaka leo halija kamilika.

nadhani ndio kanisa linaoongoza kwa upigaji, ndio maana migogoro haishi kwa viongozi wa hili kanisa kugombea miradi ili wapige hela.
 
Tangu nakua kule Keko Magulumbasi, kunapokuwa na ujenzi wa Kanisa la KKKT huwa miaka na miaka ujenzi haukamiliki.

Mifano ipo Mingi tu. Tangu mwaka 1998 Kanisa la pale Korogwe Kimara KKKT ujenzi haujaisha.

Segerea mwisho hadi kesho bado ujenzi haujaisha.

Kibamba shule njia ya Kibwegere ujenzi haujaisha.

Kumara Suka karibu na Temboni ujenzi haujaisha.

Hii ni baadhi ya mifano michache tu, hivi shida nini?
Hakuna Pesa hamtoi sadaka za kutosha ongezeni Sadaka nyinyi majengo yamaliziwe
 
Du mkuu salute,mada hii imekata kwenye mfupa,KKKT Kinondoni karibu na mahakama pale,ujenzi ule toka mimi nipo secondary school haujaisha, nakumbuka hata PM Lowassa amewahi kufanya harambee za uchangiaji pale, yaani ni wezi..wezi..wezi
NKANINI/MKEMKUBWA Uko poa?
 
Tangu nakua kule Keko Magulumbasi, kunapokuwa na ujenzi wa Kanisa la KKKT huwa miaka na miaka ujenzi haukamiliki.

Mifano ipo Mingi tu. Tangu mwaka 1998 Kanisa la pale Korogwe Kimara KKKT ujenzi haujaisha.

Segerea mwisho hadi kesho bado ujenzi haujaisha.

Kibamba shule njia ya Kibwegere ujenzi haujaisha.

Kumara Suka karibu na Temboni ujenzi haujaisha.

Hii ni baadhi ya mifano michache tu, hivi shida nini?
Inawezekana kwenye boti yao ya muhogo panya wengi, kila siku boti inatobolewa,hivyo safari ya kina kirefu ni hatari, hofu ya kuzama baharini🤔
 
Back
Top Bottom