Hivi kwanini ujenzi wa makanisa mengi ya KKKT huwa hauishi?

Hivi kwanini ujenzi wa makanisa mengi ya KKKT huwa hauishi?

NADHANI hujui power ya mchungaji.. au ume jitoa ufahamu .

hiyo kamati, na viongozi daima ni wafuasi watiifu wa Baba Mchungaji aliye ajiriwa katika usharika huo..
Uongo .Mchungaji hanunui kiwanja,hachori ramani ya jengo ,hatafuti contractor wa kujenga ,hatafuti Hela za ujenzi Wala kuusimamia sababu sio eneo lake la utaalamu Hilo ni uongo
 
kamati ya ujenzi ya waumini Wana akaunti ya kuweka fedha za ujenzi?

Je Huwa Kuna kamati ya kuwapangia kazi au kuwahamisha wachungaji?

Je wachungaji wanasomeshwa na nani?

Je eneo panakojengwa kabisa Huwa ni nani ananunua eneo Hilo?

Ni nini wajibu w Dayosisi au KKKT Kwa waumini? Kama waumini walinunua eneo wenyewe, wakamsomesha mchungaji wao mwenyewe na kujenga kabisa Kwa nguvu Yao wenyewe?
Mchungaji aweza jisomesha au akasomeshwa na usharika au Dayosisi au wafadhili lakini kama atahitajika kuajiriwa kama mchungaji hapo anakuwa na wa Dayosisi sio wa Usharika uliomsomesha tu aweza hata akimaliza asipangiwe usharika uliomsomesha anapelekwa kwingine.Akishaajiriwa ni Mali ya Dayosisi sio kanisa Fulani Fulani .Askofu aweza mtoa huku akapeleka kokote

Eneo hununuliwa mara nyingi na waumini wa sehemu husika na michango Toka Kwa waumini wengine nje ya kanisa nk na likinunuliwa hati ya eneo Lazima iandikwe Kwa jina la KKKT sio Mtu binafsi na kuanzia hapo inakuwa Mali ya KKKT sio ya waumini.Muumini ukichangia ujenzi unachangia jengo la KKKT sio jengo lako binafsi na familia yako ambako.kesho waweza dai kuwa la kwako ni Mali ya KKKT hata kama ulitoa kiwanja ni Mali ya KKKT huwezi Sema kesho rudisheni kiwanja changu

Ujenzi ukianza sio pesa tu ni pamoja na vifaa vya ujenzi watu unakuta mwingine anatoa Tani 20 nondo mwingine mifuko mia moja simenti nk na mara nyingi vifaa Huwa vingi kuliko pesa unaweza kwenda ukakuta Mtu kaleta Lori kubwa nne za kokoto na mchanga zomemwagwa kwenye kiwanja Cha ujenzi
 
Wajinga sana..walinipangia kuchangia laki 3 nikawatazama sikuwamaliza. Hadi leo sijui michango inaendeleaje maana ni muda sijakanyaga church.
Afadhali uliondoka .Watu kama nyie hamstahili kusali makanisa ya Matajiri katafute kanisa walikojaa maskini ukasali huko
 
Mchungaji aweza jisomesha au akasomeshwa na usharika au Dayosisi au wafadhili lakini kama atahitajika kuajiriwa kama mchungaji hapo anakuwa na wa Dayosisi sio wa Usharika uliomsomesha tu aweza hata akimaliza asipangiwe usharika uliomsomesha anapelekwa kwingine.Akishaajiriwa ni Mali ya Dayosisi sio kanisa Fulani Fulani .Askofu aweza mtoa huku akapeleka kokote

Eneo hununuliwa mara nyingi na waumini wa sehemu husika na michango Toka Kwa waumini wengine nje ya kanisa nk na likinunuliwa hati ya eneo Lazima iandikwe Kwa jina la KKKT sio Mtu binafsi na kuanzia hapo inakuwa Mali ya KKKT sio ya waumini.Muumini ukichangia ujenzi unachangia jengo la KKKT sio jengo lako binafsi na familia yako ambako.kesho waweza dai kuwa la kwako ni Mali ya KKKT hata kama ulitoa kiwanja ni Mali ya KKKT huwezi Sema kesho rudisheni kiwanja changu

Ujenzi ukianza sio pesa tu ni pamoja na vifaa vya ujenzi watu unakuta mwingine anatoa Tani 20 nondo mwingine mifuko mia moja simenti nk na mara nyingi vifaa Huwa vingi kuliko pesa unaweza kwenda ukakuta Mtu kaleta Lori kubwa nne za kokoto na mchanga zomemwagwa kwenye kiwanja Cha ujenzi
Mkuu uko sawa! Ni nini faida ya Dayosisi au KKKT Kwa wadharika wa eneo Fulani au Kwa waumini?

2. 25% ya sadaka inayotolewa na usharika au waumini kwenda JIMBO, DAYOSISI NA KKKT inakwenga kufanya nini huko na huko hakuna waumini,?

3. Kwanini kama mchungaji anakusanyia sadaka kwenye usharika wake tena Kwa bidii yake halipwi Mshahara na Dayosisi au KKKT? Ili hali mchungaji ni mwajiriwa wa Dayosisi?

4. Hadi tunavyoongea leo wachungaji mamia Kwa maelfu hawajalipwa mishahara na sharika zao miaka mitatu nyuma, kwanini Kwa sababu sharika zingine hazina uwezo zingine Zina uwezo!

5. Miradi ya Dayosisi mfano Bank , hotel , hospital na shule faida zinazopatikana huko huwazinapelekwa wapi ? Kwanini zisitumike kuwalipa wachungaji?

6. Askofu anampangiaje mchungaji kituo cha kazi au kumhamisha kituo cha kazi ili hali hamlipi Mshahara yeye?

KKKT maswali ni mengi kuliko majibu jirekebisheni haraka sana!
 
Afadhali uliondoka .Watu kama nyie hamstahili kusali makanisa ya Matajiri katafute kanisa walikojaa maskini ukasali huko
Ukitaka kuchukiwa na watu sema ukweli ndani ya CCM na Kanisa la KKKT.

Huwa hawataki maswali mengi na magumu.

Kila kitu wanataka useme ndio ndio.
Wananchi walio wengine walio soma shule za Kata Kwa Sasa wanahitaji majibu sahihi na Kwa WAKATI tena yenye uwazi.
 
Afadhali uliondoka .Watu kama nyie hamstahili kusali makanisa ya Matajiri katafute kanisa walikojaa maskini ukasali huko
Utajiri upi mlionao mnashindwa kumalizia makanisa miaka na miaka? Pesa wapige wengine deni nilipishwe mimi...kuondoka sijaondoka ila hiyo pesa sitoi hata yesu arudi
 
Tangu nakua kule Keko Magulumbasi, kunapokuwa na ujenzi wa Kanisa la KKKT huwa miaka na miaka ujenzi haukamiliki.

Mifano ipo Mingi tu. Tangu mwaka 1998 Kanisa la pale Korogwe Kimara KKKT ujenzi haujaisha.

Segerea mwisho hadi kesho bado ujenzi haujaisha.

Kibamba shule njia ya Kibwegere ujenzi haujaisha.

Kumara Suka karibu na Temboni ujenzi haujaisha.

Hii ni baadhi ya mifano michache tu, hivi shida nini?
Kurasini. Kkkt
 
kuna lile kanisa lao pale magomeni mapipa linalotazamana na msikiti, ktk kumbukumbu zangu za kuishi dar huu unawezakuwa ni mwaka wa 18 au 20 tangu lianze kujengwa, mpaka leo halija kamilika.

nadhani ndio kanisa linaoongoza kwa upigaji, ndio maana migogoro haishi kwa viongozi wa hili kanisa kugombea miradi ili wapige hela.
Kweli kabisa
 
Lile la magomeni mataa pale

Vp limeisha [emoji1]

Je lile la mahakama ya kinondoni vp

Ova
 
Mbongo akishakuambia tunaunda kamati kuu alafu zitakuwepo pia kamati ndogo ndogo kaaa mguu sawa

Ova
 
Utajiri upi mlionao mnashindwa kumalizia makanisa miaka na miaka? Pesa wapige wengine deni nilipishwe mimi...kuondoka sijaondoka ila hiyo pesa sitoi hata yesu arudi
Laki Tatu Eti hutoi unaiona pesa nyingi makanisa wanasali matajiri KKKT wanaoweza nunua kuku wa elfu 20 Kwa milioni 10 kuchangia ujenzi wa kanisa

Una pepo la umasikini
 
Lile la magomeni mataa pale

Vp limeisha [emoji1]

Je lile la mahakama ya kinondoni vp

Ova
Makanisa Mengine Ya KKKT kutoisha Dar ni Sababu ya wafanyakazi wengi wa serikalini na vigogo wa serikali waliokuwa wakisali humo kuhamia Dodoma ambako kule pia Kuna ujenzi wa makanisa makubwa ya KKKT
 
Back
Top Bottom