Hivi kwanini ujenzi wa makanisa mengi ya KKKT huwa hauishi?

Du mkuu salute,mada hii imekata kwenye mfupa,KKKT Kinondoni karibu na mahakama pale,ujenzi ule toka mimi nipo secondary school haujaisha, nakumbuka hata PM Lowassa amewahi kufanya harambee za uchangiaji pale, yaani ni wezi..wezi..wezi
Sizani Kam wanaibaa bhna unaiba sadaka si unakuwa kichaaa hapan litaishaaa Seema wahumi weni wa pale hawatoaa pesaaa
 
Hii taasisi inajua sana kupiga pesa kwa kweli.
Walikula pesa za corridor spring wakalazimisha waumini walipe deni tena wanakupangia kiasi cha kutoa. Nilikataa waziwazi.
Hahahahahahaah Demi umenikumbusha mbali sna kumbe ulikuwa msharikaa wa arysha Jimbo la kazikasini chini ya arch Bishop Thomas laizer
 
Nilikuja kutoa laki mbili tu nikakacha hyo nikasepa SAS HV Niko ddm napambna na maujenzi tu wagogo hawakujenga makanisaa kbsaa ssi wageni ndio tunawajengeaaa mahekalu
 
Mambo ya ujenzi ya kanisa lolote la KKKT Huwa Yako chini ya kamati ya ujenzi ya waumini

Hujui mfumo wa KKKT wewe

Mchungaji aweza hamishwa siku yeyote kamati ya Ujenzi inabaki intact na kazi ya kamati ya ujenzi ndio huhusika kuanzia mchoro wa kanisa kutafuta eneo la ujenzi na kusimamia ujenzi na kutafuta pesa za ujenzi sio kazi ya mchungaji kutafuta pesa za ujenzi au kusimamia ujenzi ni kazi ya kamati ya ujenzi

Wewe utakuwa sio KKKT ukihitaji chochote iwe ripoti ya ujenzi usimfuate mchungaji ifuate kamati ya ujenzi sababu mchungaji aweza kaa kwenye usharika mwezi akahamishwa kwenda kwingine ila kamati ya ujenzi haihami
Asante Sana umeisemea vyema idara ya ujenzi

Mm Ni mkkkt pure had watoto wangu nitawarisieha kanisa hili
 
Mambo ya ujenzi ya kanisa lolote la KKKT Huwa Yako chini ya kamati ya ujenzi ya waumini

Hujui mfumo wa KKKT wewe

Mchungaji aweza hamishwa siku yeyote kamati ya Ujenzi inabaki intact na kazi ya kamati ya ujenzi ndio huhusika kuanzia mchoro wa kanisa kutafuta eneo la ujenzi na kusimamia ujenzi na kutafuta pesa za ujenzi sio kazi ya mchungaji kutafuta pesa za ujenzi au kusimamia ujenzi ni kazi ya kamati ya ujenzi

Wewe utakuwa sio KKKT ukihitaji chochote iwe ripoti ya ujenzi usimfuate mchungaji ifuate kamati ya ujenzi sababu mchungaji aweza kaa kwenye usharika mwezi akahamishwa kwenda kwingine ila kamati ya ujenzi haihami
kamati ya ujenzi ya waumini Wana akaunti ya kuweka fedha za ujenzi?

Je Huwa Kuna kamati ya kuwapangia kazi au kuwahamisha wachungaji?

Je wachungaji wanasomeshwa na nani?

Je eneo panakojengwa kabisa Huwa ni nani ananunua eneo Hilo?

Ni nini wajibu w Dayosisi au KKKT Kwa waumini? Kama waumini walinunua eneo wenyewe, wakamsomesha mchungaji wao mwenyewe na kujenga kabisa Kwa nguvu Yao wenyewe?
 
Tangu nakua kule Keko Magulumbasi, kunapokuwa na ujenzi wa Kanisa la KKKT huwa miaka na miaka ujenzi haukamiliki.

Mifano ipo Mingi tu. Tangu mwaka 1998 Kanisa la pale Korogwe Kimara KKKT ujenzi haujaisha.

Segerea mwisho hadi kesho bado ujenzi haujaisha.

Kibamba shule njia ya Kibwegere ujenzi haujaisha.

Kumara Suka karibu na Temboni ujenzi haujaisha.

Hii ni baadhi ya mifano michache tu, hivi shida nini?
Wanasuasua ktk makusanyo
 
Mambo ya ujenzi ya kanisa lolote la KKKT Huwa Yako chini ya kamati ya ujenzi ya waumini

Hujui mfumo wa KKKT wewe

Mchungaji aweza hamishwa siku yeyote kamati ya Ujenzi inabaki intact na kazi ya kamati ya ujenzi ndio huhusika kuanzia mchoro wa kanisa kutafuta eneo la ujenzi na kusimamia ujenzi na kutafuta pesa za ujenzi sio kazi ya mchungaji kutafuta pesa za ujenzi au kusimamia ujenzi ni kazi ya kamati ya ujenzi

Wewe utakuwa sio KKKT ukihitaji chochote iwe ripoti ya ujenzi usimfuate mchungaji ifuate kamati ya ujenzi sababu mchungaji aweza kaa kwenye usharika mwezi akahamishwa kwenda kwingine ila kamati ya ujenzi haihami
NADHANI hujui power ya mchungaji.. au ume jitoa ufahamu .

hiyo kamati, na viongozi daima ni wafuasi watiifu wa Baba Mchungaji aliye ajiriwa katika usharika huo..
 
Ujenzi hauishi kwasababu sadaka ingine tunatumia kuwajengea imani
 
Tangu nakua kule Keko Magulumbasi, kunapokuwa na ujenzi wa Kanisa la KKKT huwa miaka na miaka ujenzi haukamiliki.

Mifano ipo Mingi tu. Tangu mwaka 1998 Kanisa la pale Korogwe Kimara KKKT ujenzi haujaisha.

Segerea mwisho hadi kesho bado ujenzi haujaisha.

Kibamba shule njia ya Kibwegere ujenzi haujaisha.

Kumara Suka karibu na Temboni ujenzi haujaisha.

Hii ni baadhi ya mifano michache tu, hivi shida nini?
Segerea mwisho ahahah haha naona ni mwaka wa kumi sasa ngoma bado mbichi
 
Hahahahahahaah Demi umenikumbusha mbali sna kumbe ulikuwa msharikaa wa arysha Jimbo la kazikasini chini ya arch Bishop Thomas laizer
Wajinga sana..walinipangia kuchangia laki 3 nikawatazama sikuwamaliza. Hadi leo sijui michango inaendeleaje maana ni muda sijakanyaga church.
 
Back
Top Bottom