Hivi kwanini ujenzi wa makanisa mengi ya KKKT huwa hauishi?

Hili la miradi ya ujenzi wa makanisa ya KKKT limekuwa ni kero kuliko kuliko na Maaskofu wanaangalia TU, matokeo yake waimini wameanza kuhama mdogo mdogo.

Majengo hayaishi kujengwa especially mikoa ya Dar, Arusha na Kilimanjaro.
 
Majengo mengi yana plan za gharama sana, pia waumini wachangiaji huwa ni walewale na wao wanachangamoto zao, lakini bado wanatoa mara kwa mara, Angalia Kanisa kama Kipawa, Kinondoni, Hata SEGEREA NI MAKANISA MAKUBWA SANA NA FEDHA ZA UJENZI ZINATOKA KWENYE VIPATO VYA WAUMINI.
 
Tangu nakua kule Keko Magulumbasi, kunapokuwa na ujenzi wa Kanisa la KKKT huwa miaka na miaka ujenzi haukamiliki.

Mifano ipo Mingi tu. Tangu mwaka 1998 Kanisa la pale Korogwe Kimara KKKT ujenzi haujaisha.

Segerea mwisho hadi kesho bado ujenzi haujaisha.

Kibamba shule njia ya Kibwegere ujenzi haujaisha.

Kumara Suka karibu na Temboni ujenzi haujaisha.

Hii ni baadhi ya mifano michache tu, hivi shida nini?
Muongo wewe
 
Unaweza kuwa upo sawa kwa makanisa mengine uliyoyataja
Kwa kimara korogwe kanisa lilikamilika miaka mingi sana iliyopita
ujenzi unao uona pale ni wa majengo ya biashara
Baada ya ujenzi wa kanisa kuisha ukaanza ujenzi wa shule ya awali na secondary wa ghorofa nne watoto wanasoma pale
 
KKKT za malebo hizo

Keko ya magulumbasi
unga limited.
Majengo
Mombasa

Ukitaka kufuatilia mambo ya ujenzi na hawa wachunga kondoo.. uta ishia kuacha kuamini Mungu Yupo
Mambo ya ujenzi ya kanisa lolote la KKKT Huwa Yako chini ya kamati ya ujenzi ya waumini

Hujui mfumo wa KKKT wewe

Mchungaji aweza hamishwa siku yeyote kamati ya Ujenzi inabaki intact na kazi ya kamati ya ujenzi ndio huhusika kuanzia mchoro wa kanisa kutafuta eneo la ujenzi na kusimamia ujenzi na kutafuta pesa za ujenzi sio kazi ya mchungaji kutafuta pesa za ujenzi au kusimamia ujenzi ni kazi ya kamati ya ujenzi

Wewe utakuwa sio KKKT ukihitaji chochote iwe ripoti ya ujenzi usimfuate mchungaji ifuate kamati ya ujenzi sababu mchungaji aweza kaa kwenye usharika mwezi akahamishwa kwenda kwingine ila kamati ya ujenzi haihami
 
Unaweza kuwa upo sawa kwa makanisa mengine uliyoyataja
Kwa kimara korogwe kanisa lilikamilika miaka mingi sana iliyopita
ujenzi unao uona pale ni wa majengo ya biashara
Baada ya ujenzi wa kanisa kuisha ukaanza ujenzi wa shule ya awali na secondary wa ghorofa nne watoto wanasoma pale
Sahihi huyo Mleta mada sio KKKT bwege huyo

Shenzi type
 
Tangu nakua kule Keko Magulumbasi, kunapokuwa na ujenzi wa Kanisa la KKKT huwa miaka na miaka ujenzi haukamiliki.

Mifano ipo Mingi tu. Tangu mwaka 1998 Kanisa la pale Korogwe Kimara KKKT ujenzi haujaisha.

Segerea mwisho hadi kesho bado ujenzi haujaisha.

Kibamba shule njia ya Kibwegere ujenzi haujaisha.

Kumara Suka karibu na Temboni ujenzi haujaisha.

Hii ni baadhi ya mifano michache tu, hivi shida nini?
Mleta mada wewe ni pepo sio binadamu shindwa Kwa Jina la Yesu
 
Tangu nakua kule Keko Magulumbasi, kunapokuwa na ujenzi wa Kanisa la KKKT huwa miaka na miaka ujenzi haukamiliki.

Mifano ipo Mingi tu. Tangu mwaka 1998 Kanisa la pale Korogwe Kimara KKKT ujenzi haujaisha.

Segerea mwisho hadi kesho bado ujenzi haujaisha.

Kibamba shule njia ya Kibwegere ujenzi haujaisha.

Kumara Suka karibu na Temboni ujenzi haujaisha.

Hii ni baadhi ya mifano michache tu, hivi shida nini?
Wewe siyo mwan kkt ,

Kkkt tunajichanga wenyewee siyo kmaa ninyi msaadaa kutoka vatican
 
KKKT lina waumini wengi sana. Ila wachaga ndio wengi zaidi kwenye nafasi za juu juu kwenye kila usharika.

Sehemu yoyote mchaga akiwepo ujenzi huwa hauishii.. hata nyumba za kuishi za wachaga huwa zinarekebishwa kila mara.

Mchaga na ujenzi ni ndugu
Hahaha mm Niko ilazo kanisa linasimamiw na wachaga na Nina imani nao sanaaaa tunaenda vzr
 
Back
Top Bottom