Hivi kwanini ukienda bar na mtu wa jinsia ya tofauti(me)unapata huduma mbovu?

Hivi kwanini ukienda bar na mtu wa jinsia ya tofauti(me)unapata huduma mbovu?

Kwa chakula mie usafi kwanza ndio kinaweza kunifanya nirudi tena,sio service
Kwangu ni vyote lkn nikipata service nzuri inanipa kumbukumbu nzuri zaidi
 
Na kama inaenda mwenyewe, ukiwa serious, huhudumiwi vizuri, unabaki na u- serious wako.
Sasa mkuu kama mtu yuko serious Na mambo Yake mhudumu inamhusu nini si atimize wajibu waktoa huduma nzuri??
 
Ha ha ha ntakuchek usijal, Bar ilibd uende mwenyewe bwana usikute Mshkaj ulioenda nae mwenyeji pale
Sasa si angekuwa mtulivu atufuatie Kwa ukaribu kuona kama tunamapenz ama la..ni ukorofi...

Hakuna shida brother
 
Mhudumu akiona unakuja bar peke yako huenda unatafuta company, na kama sivyo anataka change umuachie. La sivyo atakuhudumia kama second class
 
Back
Top Bottom