humility21
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 448
- 622
Sababu hasa ya chuki huwa ni nini hata kama wanawake hamfahamiani?Kuna chuki nzito Kati yetu😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu hasa ya chuki huwa ni nini hata kama wanawake hamfahamiani?Kuna chuki nzito Kati yetu😁😁
We acha tu ila sasa na wewe sikupati ndio shidaLimekuweka mbali na JF eti
Umemisika na ww pia uko mji wetu huu ama ushasepa na kijiji
Mimi nipo kila siku...labda hutaki kunionaWe acha tu ila sasa na wewe sikupati ndio shida
ha ha ha ha unazingua nakataaje sasa kukuona anywas mwaka mpya huu acha tuanzie hapa hapa...Mimi nipo kila siku...labda hutaki kuniona
Sio tuanzie tulipoishia mwaka jana?😀ha ha ha ha unazingua nakataaje sasa kukuona anywas mwaka mpya huu acha tuanzie hapa hapa...
Tulipoishia naona tutakutana mwakan tena kama sa hv tunaset new year resolutionSio tuanzie tulipoishia mwaka jana?[emoji3]
[emoji28][emoji28][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kwasababu kila kitu kipo pale ......View attachment 2068807
Nisepee wapi bwana nipo hapahapaUmemisika na ww pia uko mji wetu huu ama ushasepa na kijiji
asee pole sanaHakika leo nimekwazika kiwango cha juu mno..sijawahi kuchukia Na sipendagi kuchukia kiasi hiki cha leo
Ile I'd ya queen joanah yenye avatar hiyo ni yako ?Mie nimekumiss tu
Mambo ya bar siyajuagi