Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliisha acha muda mrefu..Perfume ni yangu.. Nachagua brand niipendayo... nanunua Kwa pesa zangu..
Khaaaah !! Leo unishirutishe kuitumia!!!
Kama unahitaji ninazo left over..
Tuma kwanguPerfume ni yangu.. Nachagua brand niipendayo... nanunua Kwa pesa zangu..
Khaaaah !! Leo unishirutishe kuitumia!!!
Kama unahitaji ninazo left over..
Sasa ndo waoge mkuu..
Kuhisi perfume ndo usafi..aisee ni UJINGAA.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nani aliyekudanganya kwa wanaojipulizia perfume huwa hawaogi!? 😳 😳
Uhuru wa kunusa unapoishia ndio uhuru wa mwenye harufu unapoanzia😄 this is so Gangsta bruh!Uhuru wako unapoishia ndipo uhuru wa aliyejipulizia perfume unaanzia. Aliyejipulizia perfume ana haki ya kufanya hivyo bila uhuru wake kuingiliwa na yeyote yule.