Hivi kwanini upulizie pafyumu nyingi hadi ukiwa umbali wa mita 100 wengine waisikie?

Hivi kwanini upulizie pafyumu nyingi hadi ukiwa umbali wa mita 100 wengine waisikie?

Kuna mmoja huyo, alikuwa akija nyumbani harufu ya nyumba nzima inabadilika,kiti atakachokalia kitanukia marashi yake kutwa nzima!!!
 
Ofisini kwangu walitaka kuleta hii kitu eti wengine wana matatizo ya kiafya na perfume hivyo wanaojipulizia wawafikirie wenzao na hivyo kuachana na kujipulizia. ME na KE wanaopenda perfume wakagoma kwamba hao wenye matatizo ya kiafya wasiwasogolee 😂😂😂 au kupita karibu na maeneo yao. Basi management ikanyoosha mikono juu.

Uhuru wa kunusa unapoishia ndio uhuru wa mwenye harufu unapoanzia😄 this is so Gangsta bruh!
 
Ofisini kwangu walitaka kuleta hii kitu eti wengine wana matatizo ya kiafya na perfume hivyo wanaojipulizia wawafikirie wenzao na hivyo kuachana na kujipulizia. ME na KE wanaopenda perfume wakagoma kwamba hao wenye matatizo ya kiafya wasiwasogolee [emoji23][emoji23][emoji23] au kupita karibu na maeneo yao. Basi management ikanyoosha mikono juu.
Hahaha
 
Niliisha acha muda mrefu..

Nilikuwa nikiacha tumia najihisi nanuka. Kumbe perfume ilikuwa inanijaza uchafu..

Confident with my body odour now.
Jitambue na usipende kujidanganya,unafikiri kila mtu anafurahishwa na body odour yako!ni kama anayeingia chooni kujisaidia, huwezi kuona karaha ya harufu ya choo chako,ila ukitoka na mtu mwingine akaingia ndio atagundua kuwa mzigo wako una harufu mbaya kwa kiwango gani,penda kunukia...
 
Niliisha acha muda mrefu..

Nilikuwa nikiacha tumia najihisi nanuka. Kumbe perfume ilikuwa inanijaza uchafu..

Confident with my body odour now.
That's you remember?? Wote hawawezi kuwa kama wewe... Imagine unasafiri na mtu from Dar to Dodoma au Mwanza na vile Bus zetu zilivyo, wewe unafunga kioo mwenzio anakifungua halafu ndiyo uwe unanuka kikwapa njia nzima?? No way aisee...
 
Wagumu kama nyama ya nanihii ile sehemu ya kike ya yule ng'ombe wa kike, ukiipika hata utumie gesi haiajwah kuwa laini[emoji3][emoji3][emoji2][emoji1][emoji16]
Mzee mmoja butcher aliwahi niuzia masikio ya ng'ombe bila kujua nilichemsha nyama mpka gesi ikaisha ila mzgo haukuiva
 
Ninavyopenda Perfume eeh
Ni bora uninyonge kuliko kuacha kutumia.
Nina perfume zaidi ya 30
Ni kitu nikipendacho mno.

Nikiingia ofisini lazima watu wote wajue nimeingia.
Hadi wateja wameshazoea kusikia perfume zangu,wasipoiskia wanajua nimetoka either nimeenda msikitini au sajaja kazini.

Nikioga usiku wakati wa kulala lazima nijipulizie Perfume kidogo hasa bodyspray ndio nipande kitandani hata kama ni saa nane usiku.

Kabati langu lazima kila weekend nikipanga nguo lazima lipuliziwe perfume hata bag langu la safari lazima nguo zikishapangwa then linapulizwa perfume bag zima then linafungwa tayari kwa safari.

Ukishika chochote changu lazima ubaki na perfume iwe simu, iwe ufunguo, kalamu, keybord, saa nk, nikikaa pia nikinyanyuka kwenye kiti lazima niiache.
 
Hahaa upo vizuri
 
Back
Top Bottom