Hivi kwanini upulizie pafyumu nyingi hadi ukiwa umbali wa mita 100 wengine waisikie?

Hivi kwanini upulizie pafyumu nyingi hadi ukiwa umbali wa mita 100 wengine waisikie?

Inategemea ni pafyum gani.
Unakijua kipafyum kinaitwa cobra ama mariam, zinakera mpaka bhasi afu unakuta mtu kajikandika.

Hebu jipulizie bitter peach 6 spray.
Utanishukuru baadae.
 
Inategemea ni pafyum gani.
Unakijua kipafyum kinaitwa cobra ama mariam, zinakera mpaka bhasi afu unakuta mtu kajikandika.

Hebu jipulizie bitter peach 6 spray.
Utanishukuru baadae.
[emoji3]unajipuliza kidogo tu lakini kitu kinaitika vyema kabisa
 
Ninavyopenda Perfume eeh
Ni bora uninyonge kuliko kuacha kutumia.
Nina perfume zaidi ya 30
Ni kitu nikipendacho mno.

Nikiingia ofisini lazima watu wote wajue nimeingia.
Hadi wateja wameshazoea kusikia perfume zangu,wasipoiskia wanajua nimetoka either nimeenda msikitini au sajaja kazini.

Nikioga usiku wakati wa kulala lazima nijipulizie Perfume kidogo hasa bodyspray ndio nipande kitandani hata kama ni saa nane usiku.

Kabati langu lazima kila weekend nikipanga nguo lazima lipuliziwe perfume hata bag langu la safari lazima nguo zikishapangwa then linapulizwa perfume bag zima then linafungwa tayari kwa safari.

Ukishika chochote changu lazima ubaki na perfume iwe simu, iwe ufunguo, kalamu, keybord, saa nk, nikikaa pia nikinyanyuka kwenye kiti lazima niiache.
Mama.e....umetisha. U're smell maniac. Kuna watu wengi harufu nzuri kwao ni addiction,wanajifunika shuka na kujipulizia za kila aina.
 
Wengine tunafanya ili kuyaita majini wewe inakudhuru nini mkuu?
 
Tuko wengi mkuu,na ukiona mtu mpaka anapaka perfume wakati wa kulala huyu ujuwe ni wale tu wanaopenda kunukia na sio kuvuta attention ya watu kama wengi wanavyodhania,unakuta unapenda tu kunukia vizuri.Mimi kwa mfano nikishapiga perfume ile ninayoipenda kuna aina flani ya raha naisikia kwenye moyo wangu,huwa najisikia vizuri sana...
akili pia inatulia na confidence inaongezeka
 
Kipindi nasoma sekondary katika mtihani wa kiswahili lilikuja swali linauliza hivi.MSWAHILI NI NANI?
 
Aiseee!!!!
Hii nimepewa Zawadi.

Hizi ndio zile mtu yuko kule anaisikia.
Kama chumba chako ukiacha wazi dirisha harufu mpaka nje..
20211117_071136.jpg
 
Back
Top Bottom