Hivi kwanini upulizie pafyumu nyingi hadi ukiwa umbali wa mita 100 wengine waisikie?

Perfume ni yangu.. Nachagua brand niipendayo... nanunua Kwa pesa zangu..

Khaaaah !! Leo unishirutishe kuitumia!!!
Kama unahitaji ninazo left over..
Niliisha acha muda mrefu..

Nilikuwa nikiacha tumia najihisi nanuka. Kumbe perfume ilikuwa inanijaza uchafu..

Confident with my body odour now.
 
Uhuru wako unapoishia ndipo uhuru wa aliyejipulizia perfume unaanzia. Aliyejipulizia perfume ana haki ya kufanya hivyo bila uhuru wake kuingiliwa na yeyote yule.
Sasa ndo waoge mkuu..

Kuhisi perfume ndo usafi..aisee ni UJINGAA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…