Hivi kwanini upulizie pafyumu nyingi hadi ukiwa umbali wa mita 100 wengine waisikie?

Najua hii haikos kweny orodha yako [emoji1]
 
Hahaha umetisha
 
It doesn't irritate bro...wala husikii kitu. Ukipishana na mimi au kukaa na mimi ni kama uko na fresh air tu.

Perfum ya nini sasa!!?
 
That's you remember?? Wote hawawezi kuwa kama wewe... Imagine unasafiri na mtu from Dar to Dodoma au Mwanza na vile Bus zetu zilivyo, wewe unafunga kioo mwenzio anakifungua halafu ndiyo uwe unanuka kikwapa njia nzima?? No way aisee...
Sasa ndo ujimwagie.. !?
 
Duh!! Una tatizo mkuu.

Kifupi umepata addiction.
 
Wagumu kama nyama ya nanihii ile sehemu ya kike ya yule ng'ombe wa kike, ukiipika hata utumie gesi haiajwah kuwa laini[emoji3][emoji3][emoji2][emoji1][emoji16]
Tumia kistaarabu.
 
Kuna mtu unapishana nae toilets unabaki unashanga...ametoka kukojoa au kuny@ pafyumu... !!?

Sasa mpate avue boxer au ch*pi.. Utahama room.
Oga vizuri bhana. Jiamini.
Vaa 😷
 
Duh aise we umetishaa[emoji38]
 
Tuko wengi mkuu,na ukiona mtu mpaka anapaka perfume wakati wa kulala huyu ujuwe ni wale tu wanaopenda kunukia na sio kuvuta attention ya watu kama wengi wanavyodhania,unakuta unapenda tu kunukia vizuri.Mimi kwa mfano nikishapiga perfume ile ninayoipenda kuna aina flani ya raha naisikia kwenye moyo wangu,huwa najisikia vizuri sana...
 
Mimi pamoja na matatizo yangu ya kiafya ila marashi siachi.


Kweli tusipangiane,,kama wao hawapulizi basi wasitake wote tunuke kibeberu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuache ushamba aisee.

Puliza pafyumu au body spray inayokufaa wewe wewe peke yako within your own perimeters aisee.

Inakera sana.

Uzi tayari.


What are ones perimeters ??!!
 
Watuache tunukie.


Chumba changu kinanukia Muda wote hadi naambiwa nitaleta majini.

Kiukweli napenda nikipita niache kaharufu ka perfume yangu.
Na ninavyozimix ...
Huu mtindo wa kupuliza kwenye nguo na bag kumbe tunao wengi.
Hela yangu heri nisile mjini ila ninunue perfume,, najitahidi kila baada ya siku chache angalau nirudi na taste mpya nyumbani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee kumbe tupo wachache tulio walevi wa pafyum [emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…