Hivi kwanini upulizie pafyumu nyingi hadi ukiwa umbali wa mita 100 wengine waisikie?

Inategemea ni pafyum gani.
Unakijua kipafyum kinaitwa cobra ama mariam, zinakera mpaka bhasi afu unakuta mtu kajikandika.

Hebu jipulizie bitter peach 6 spray.
Utanishukuru baadae.
 
Inategemea ni pafyum gani.
Unakijua kipafyum kinaitwa cobra ama mariam, zinakera mpaka bhasi afu unakuta mtu kajikandika.

Hebu jipulizie bitter peach 6 spray.
Utanishukuru baadae.
[emoji3]unajipuliza kidogo tu lakini kitu kinaitika vyema kabisa
 
Mama.e....umetisha. U're smell maniac. Kuna watu wengi harufu nzuri kwao ni addiction,wanajifunika shuka na kujipulizia za kila aina.
 
Wengine tunafanya ili kuyaita majini wewe inakudhuru nini mkuu?
 
akili pia inatulia na confidence inaongezeka
 
Kipindi nasoma sekondary katika mtihani wa kiswahili lilikuja swali linauliza hivi.MSWAHILI NI NANI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…