Ninawaza.
Mtu kupulizia kabati perfume?
Mbona mimi nikifungua kabati langu la nguo automatic linanukia....
Yaani perfume nazotumia hata ufue nguo bado harufu zinabaki....
Yaani tamu balaaa....
Kabati ukifungua hadi raha harufu yake....
Uhuru wako unapoishia ndipo uhuru wa aliyejipulizia perfume unaanzia. Aliyejipulizia perfume ana haki ya kufanya hivyo bila uhuru wake kuingiliwa na yeyote yule.