Hivi kwanini wahitimu wa Udom wanapata ajira sana

Hivi kwanini wahitimu wa Udom wanapata ajira sana

Napiga kazi shirika la Umma na ni product ya Udom
..usahili wa sekretariet ya ajira tulikuwa kibao na wa vyuo vyote lkn walihitajika wawili...nilipenya mm na mwingine wa udsm.
chuo hakina maana yyte bali mtu unajipangaje...
 
We umesoma UDOM bt umekosa namna ya kufagilia chuo chako ad umuingize baba ako UDSM.
 
Kama MD yenu ingekuwa bora msingefungiwa kudahili wanafunzi na tcu[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mimi siko Udom,na hata ningekuepo bado anaesoma music udsm hawezi kujilingsnisha na nurse wa UDOM.

I think nyie vijana ingieni kwanza vyuoni ila hizo mbwembwe zenu huwa zinakata after 2 years za kuzungusha bahasha
 
Niseme tu wazi mimi nimesoma UDSM, Ila sifurahishwi na jinsi ambavyo wahitimu wa udom wanavyopewa upendeleo ktk soko ajira kwasasa kuliko vyuo vingine au upendeleo?

Hivi karibuni nilikuwa nchini Botswana na Korea, nilibahatika kukutana na vijana wa Kitanzia wanaofanya kwenye mashirika ya USAID na UN respectively, kwenye maongezi yetu nikawahoji mmesoma vyuo gani wakasema Udom.

Nilishtuka sana maana sikutegemea chuo kipya kama hiki kinaweza kutoa graduates makini, wakaniambia tatizo Tz tumekariri kwamba kusoma chuo fulani basi wewe ndio unajua kumbe waajiri wanaangalia competency.

Pia juzi kulikuwa na interview ya kazi kwenye ofisi zetu katika vijana 24 waliokuwa shortlisted kwa ajiri ya Oral 9 walikuwa UDOM, 5 udsm, 5 SAUT, 3 IFM, MZUMBE 1, MUCCOBS 1, na waliofanikiwa kupata ajira na wanaripoti kazini jumatatu ni watano, udom 3, saut 1 na Muccobs 1.

Wale wazungu waliokuwa wakifanya interview walisifu sana uwezo wa vijana wa udom.

Pia nimesikia watu wakilalamika kuwa si kweli udom wapo vizuri bali wanapendelewa tuu ili kuuza jina la chuo, je haya madai ni ya kweli wadau?
Kuwa compitent ni struggles za mtu binafsi. Wasemalo lipo kama halipo basi lipo njiani.
Udom Kuna courses wamefanya vizur Sana. Nimeenda ministrial agencies, departments and local authorities. Ma Hr & Administrative officers wengi ni wanavyuo wa udom. Pia kumbuka hichi chuo kina graduates wengi Sana tofauti na vingine. Kwa hiyo ni wazi kwenye 50 lazima utapata wa5 bora kabisa.
Akili Zako changanya na za kuambiwa. Hakuna madesa yanayomfanya graduates kuwa compitent. Invest on books & short courses lazima utakuwa compitent tu.
 
Acheenii kubeza chuo angaria yako usifuatiriee ya wenzako sasa kama si chuo wangedahili wanafunzi we we harafu kumbuka maisha so vyeti ni nyota unaweza toka chuo maarufu saana ukaishia kuuza mchicha mtaani kwani hakuna wahitimu wa udsm na sua ambao wako mtaani??? Tena ndo wengi mutaaaani kuliko wa udom
 
Lakn kuna kozi kama. Medicine washeya marekicha ???sasa nauriza swari kwamba Hugo lecture anafundisha chuo kingine high quality harafu anaenda udom anafundisha low quality naomba jibu wadau
 
Kinachowasumbua watu wengi wasio jiamini nikutaka kujiaminisha kwa mambo yasio na tija.

Kusoma sijui Udsm, Udom n.k isiwe sababu ya kudhihirisha ujinga wako mbele za watu. Hiyo inaitwa inferiority complex.

Mtu hupenda kile akionacho cha thamani kwake, sasa kama Udom ndio kinathamani kwako basi wengine Udsm ndio hukiona cha maana na kadhalika kwa vingine.

Miongoni mwa sifa bora ya chuo bora ni katika kuchagua wanafunzi bora, wanafunzi wenye Sifa bora ili kiweze kuzalisha Mazao bora.

Kigezo hiki ndicho hufakifanya chuo cha Udsm kuendelea kuwa chuo bora hapa Tanzania. Udsm huchukua wanafunzi wengi waliopata maksi za kutisha na wachache wenye maksi ndogo. Hii imefanya wale wenye Maksi ndogo ambao kwa namna moja au nyingine hawakuchaguliwa katika Chuo hiki ambacho ni ndoto ya Wanafunzi wengi kuanza kutapa tapa.

Mimi naona hakuna sababu ya kuzozana, ila kila mtu aheshimu nafasi ya mwengine hata kama Mwenzako ni dhaifu, mweshimu kwa udhaifu wake. Ila na ninyi Mliodhaifu mtulie, Sio kupiga kelele kama watu waliopagawa.

"Mtu asiejiamini hutafuta kujiamini kwa wale awaonao ni bora kuliko yeye, Bali ajiaminiye huthamini yale yalioyake na kushukuru kupitia hayo". ~ Robert Heriel
 
MUCCOBS
Siku hizi kinaitwa MoCU = Moshi Co-operative University, Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi
 
Tunakoelekea wahitimu wa UDOM hawaepukiki kwani ndiyo chuo chenye wanafunzi wengi zaidi nchini!
 
Udom Wanasoma kwenye mazingira mazuri. Hawana stress za kujichanganya mitaani wawapo Chuo. Wamejengwa kwenye kujijiengea uwezo wa kujitegemea zaidi. Wana maarifa Ujuzi na stadi za kutosha.
 
Back
Top Bottom