Hivi kwanini wanaume wafupi hawapendezi?

Huu mwandiko bila shaka ni wa mwanamke?
 
Mbona nimewaona wanaume wengi wfupi wanavaa suti na wanapendeza sana, sana tu.
 
Aaaaa jama acha ujinga sema ww upendez kwavile auna ela au aina yasuti unazovaz
 
Hawajui kuvaa. In short
 
Acha uongo....tafuta picha za Kevin Hart kapiga suti uone
 
UTAKUWA NA SHIDA SANA YAKUJIKUBALI DESPITE UREFU ULIONAO INFACT UNA MAPUNGUFU MENGI MNOO NA MALEZI YAKO NI DUNI NA MABAYA
MTU MWENYE UTU NA ALIYEKARIBU NA KUKAMILIKA HAJISIFU WALA KUPONDA MADHAIFU YA WENGINE.........

WEWE NI MTU WA OVYO ULIYELELEWA NA WATU WA OVYO OVYO
PROVE ME WRONG....................NGONGOTI MMOJA WEWE!
 
Tatizo umeweka picha ya huyo muigizaji na model wa huko uturuki ambapo weupe unambeba

Kwann usingetuwekea picha ya Nagwa Og akiwa amevaa suti maana na yeye ni Mrefu
 
Tatizo umeweka picha ya huyo muigizaji na model wa huko uturuki ambapo weupe unambeba

Kwann usingetuwekea picha ya Nagwa Og akiwa amevaa suti maana na yeye ni MrefuView attachment 2041073
huyo jamaa kwenye picha hajui kuigiza, na kuna baadhi ya mabasi ukipanda wana clip zake tu hawana zingine, anakera hadi movie inapoisha. kwanini wasiwe wanaenda chuo cha bagamoyo?
 
huyo jamaa kwenye picha hajui kuigiza, na kuna baadhi ya mabasi ukipanda wana clip zake tu hawana zingine, anakera hadi movie inapoisha. kwanini wasiwe wanaenda chuo cha bagamoyo?
Hao wanaigiza kikomedi mkuu hakuna comedian ambae hajui kuigiza
 
Acha ujinga.Sasa kwa taarifa yako utaolewa na Mwanaume mfupi mnene anayependa kuvaa suti.
 
Eti "utaku-touch" kwa namna mbaya[emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…