Hivi kwanini wanaume wafupi hawapendezi?

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kafupii alaf ukute kana matako manene na kamechomekea uwiiii,huwa najikaza bt nacheka tukipisha , hihihiiih hata waki react hawanifikii,
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Tatizo zaidi lipo kwenye gubu, kah hivi vimtu vingi Ni hatari vinazira na visirani Ni noma,


Na inferiority complex kwa sana.

Yani akiwa ndio mume au Mpenzi mwanamke inabidi uwe makini zaidi katika kuhusiana ili kuepuka kumkwaza mara kwa mara.

Lakini msiwaseme vibaya tumuogope Mwenyezi Mungu nyie !
 
We umemuona babako au basha wako kashonewa suti oversize au ya kuazima, akawa kama katuni ukaja kuanzisha uzi. Huwa wanapendeza sana hasa wanapovaa suti za size zao. Ninafahamu watu wafupi wengi sana ambao suti zinawapendeza.
 
Na inferiority complex kwa sana.

Yani akiwa ndio mume au Mpenzi mwanamke inabidi uwe makini zaidi katika kuhusiana ili kuepuka kumkwaza mara kwa mara.

Lakini msiwaseme vibaya tumuogope Mwenyezi Mungu nyie !
Vipuuzi Sana hivyo vimtu vina gubu la kijinga jinga
 
Wewe ni mfupi au mrefu??
 
Mimi sio kibonge hata kimbau mbau sio

Uliza maswali yote basi,moja moja nitaanza kuona uvivu kujibu
Acha uvivu wa kujibu maswali yangu.Hujui Mimi napenda tuendelee kuchati,Sasa nikiuliza mara moja nitauliza nini tena???.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…